zai katoto
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 325
- 227
Kama kawAida mambo ya kuvuka boda.
kibaka mwisho mpakani ukivuka boda kila mtu platinumz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kawAida mambo ya kuvuka boda.
tena huwa anajisifia kabsa kuwa anatoka tandale.angekuwa anaringa asingepata ujasiri wa kutaja kwao mara kwa mara
Wao mradi chuki zao zinawatuma kusema wanasema tuu....oooh kasema mbeya hakuna hotel yenye hadhi yake na juzi alikua iringa..
Sasa jiji na manispaa wapi kuna hotel nzuri kuliko kwingine???
We unasemaje wewe ? C unasema baada ya kuona Chibu anaanza ukajua hana muda mrefu?? Mi nikakumbuka ilikuwa hivi...!! Enzi hizo nilikuwa sijaacha kusoma magazeti ya Shigongo type! Sasa ilikuwa kila nikikutana na Shigongo type, nakutana na habari za mtu anayeitwa Diamond!!! Mimi nina tatizo moja... nina allergy na majina yanayovuta attention!!! Hata duka lako ukiliita SUPER kufanya nini cjui, kuna hatari nisiingie! Akili yangu inavyonituma ni kwamba u've some weaknesses ambazo unataka kuzi-cover up kwa jina tamu linalovutia huku likiwa limenyunyuziwa marashi! Kwahiyo Dogo ikawa nampotezea tu, kisa, jina la DIAMOND tu! Kama mara mbili tatu hivi nikakuta habari zake kwenye serious newspaper... nikampotezea vile vile... kisa kile kile, sikuwa na sababu za msingi... kwavile tu naona jina lake ni aina ya majina yanayovuta attention ambayo kwa tafsiri yangu ni udhaifu!Zai pokea likes milioni laki kumi na tano elfu sabini na mia tatu na nusu......
I always wanted to give them that kind of an example lakini nikaona kwa kuwa their hearts are full of hatred they won't even get my point.
Watu kama Dully Sykes walau you can dare to call them kings..
Coz toka wanaanza hawajawahi kukosea wala kushuka....na ukianza kupanga nyimbo zao na ukaanza sikiliza hata sasa bado zinakupa burudani kama uloipata wakati nyimbo zinatoka..
Msanii ambae anafata hizo nyayo ni chibu kwa sasa...
Ukianza kupanga nyimbo za chibu kuanzia kwa KAMWAMBIE mpaka NUMBER ONE,hakuna wimbo ambao Dogo kakosea....na uzuri zaidi unaona kuna maboresho ktk kila song from music to videos.
Binafsi wakati chibu anaanza nkaona hana muda mrefu baada ya mbagala.mara nkasikia ntarejea nkasema maybe ya mwisho mwisho,kustuka naskia MAWAZO(always my favourite) nkasema hatotoa tena kama mawazo,sijakaa sawa naskia lala salama mara kizai zai yaani mara kesho yaani mradi vurugu...mwenyewe nikakata tiketi ya ushabiki namba moja wa chibu.
So mm mtu akija na Sera zake za ufalme na reference akiwa alli binafsi namuona hayuko sawa.
Dah... naitamani sana hiyo video unfortunately sipo watsapp... anyway, in short i hate any social network ambazo zinatumia simu peke yake... nimeumbwa vibaya, nina allergy sana na simu hasa linapokuja suala la ku-text kutumia simu!!Makamanda nina video ya mchina akiimba wimbo wa nitampata wapi ila nashindwa kuiupload ambaye ana acess Aseme nimrushie watsaap aje hta pm ili aje aweke kwenye jukwaa watu wapate udambwiudambwi
Ndo maana tumekata passport tangu mwaka 2005 bado haijajaa na tunajiandaa kwenda kurinyuu ili mradi tu!!! We Eshy m.s mjeuri....wengine tutaishia kupiga tour mtwara tu
Ndo maana tumekata passport tangu mwaka 2005 bado haijajaa na tunajiandaa kwenda kurinyuu ili mradi tu!!! We Eshy m.s mjeuri....
Niruhusu nikupuuze!Kwa akili yako fupi unadhani Passport ya Obama imejaa mihuri kama passport ya Profesa Kikwete?
Niruhusu nikupuuze!
Niruhusu nikupuuze!
Hahaaaaaaah
G'morning wadau,bila shaka jirani zetu pia wame amka salama.majukumu yanaendelea nawatakia uwajibikaji mwema na kwa wale wagonjwa na wenye matatizo mbali mbali Mungu awatie nguvu,wale walioko shule basi masomo mema.....!!
Kwah kwah kwah... cjui ulijuaje kwamba natoka jimbo a Mchinga wakati Lindi likuuuuuubwa... una akili wewe!!!Kwa comments zako Wewe ndo Mbunge mtarajiwa wa jimbo LA Mchinga....ndo ushashinda hivo.....!
Kwah kwah kwah... cjui ulijuaje kwamba natoka jimbo a Mchinga wakati Lindi likuuuuuubwa... una akili wewe!!!
E bhana ee..., n'shaanza kunenepea kitandani Kim!! Wallah kama we ni mtabiri mahiri kiasi hicho, acha nishoneshe suti kabisa, naamini hata nikikuomba unipigie kampeni, hutaniangusha na fwedha za kikao cha kwanza tu, zote zako ili mradi tu usije kutoa shindano hapa la atakayefikisha page ya 100 manake Mond anajiuza mwenyewe!!!Me mtabiri Muheshimiwaa.....Usinisahau yakija madili ya maana kama escrow manake kushinda ushashinda unasubiri wavunje lijibunge lao uapishwee.....
E bhana ee..., n'shaanza kunenepea kitandani Kim!! Wallah kama we ni mtabiri mahiri kiasi hicho, acha nishoneshe suti kabisa, naamini hata nikikuomba unipigie kampeni, hutaniangusha na fwedha za kikao cha kwanza tu, zote zako ili mradi tu usije kutoa shindano hapa la atakayefikisha page ya 100 manake Mond anajiuza mwenyewe!!!
Unaona sasa... kumbe mtaji wa kuanzia ni wa kumwaga... nami napiga bei mikorosho yote... mikorosho nini bwana, wakati migesi imejaa hadi sebuleni! Yaani lazima nikutafute tuanze mikakati...Kuhusu Campaign manager hapa umepata......na fedha za kikao usijali ntauza mikorosho yangu ya urithi...hahahaaa Siku hizi tuna gesi korosho sio dili......!
Siwezi kutoa Shindano wakati jimbo lako lilee.....yani ukiamka we anza kutembea kwa kujitanua kama makwapa yana jipu vilee.....Jimbo lote lako hilo.......