Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Waje-Coco Baby [Official Video] ft. Diamond Platnumz

Last edited by a moderator:
Tatizo nyota ndugu zangu.............

586k views in six days.

Washajua kutofautisha tayari,bado kukubali hadharani.
 
Wakati wasanii wakubwa Afrika wanaona umuhimu wa kumshirikisha Chibu kama njia ya kujipenyeza East Africa, wengine ambao mwisho wao mpaka wa Namanga wakiambiwa wawe boosted na Chibu, mashabiki wao wanakuja juu, aaaaaargh! Ama kweli mwenye mbili havai moja...
 
diamond ana make headline mpk anaboa mosi Saa 5 leo atakua jumba la big brother pili kumtoa q chillah video na audio tatu hii video mpya na waje. watasanda tu
 
Hahahaaaaaahhh! Roho za kwanini zinawasumbua
 
diamond ana make headline mpk anaboa mosi Saa 5 leo atakua jumba la big brother pili kumtoa q chillah video na audio tatu hii video mpya na waje. watasanda tu

acha wasandee,,, afu yule dogo aloimba barua kwa diamond kanikosha sana nimemkubali sanaaaa
 
diamond ana make headline mpk anaboa mosi Saa 5 leo atakua jumba la big brother pili kumtoa q chillah video na audio tatu hii video mpya na waje. watasanda tu

Kila la heri kijana chibu.
 
Attachments

  • 1417068139275.jpg
    1417068139275.jpg
    45.5 KB · Views: 100
Back
Top Bottom