Mnyakilambo7
Member
- Oct 15, 2014
- 63
- 27
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hiyo ndo sauti ya raisi ilomshinda hadi ibilisi
Nini mi ndo naingia
Wapi tena, wengine tulilikimbia jukwaa kwa muda ili tukapige mdomo kwengine....!!!aisee bonge la collabo nimeipenda video
Coco Baby_Waje ft. Diamond Platnumz
http://www.hulkshare.com/diamondplatnumtz/coco-baby-new-master
Ahhhaaaaa, hizi sifa sasa, na leo tena nyama?? Mnawaumiza pua majirani wa mzee Mcharo jamani......Waje-Coco Baby [Official Video] ft. Diamond Platnumz
Wapi tena, wengine tulilikimbia jukwaa kwa muda ili tukapige mdomo kwengine....!!!
Wakati wasanii wakubwa Afrika wanaona umuhimu wa kumshirikisha Chibu kama njia ya kujipenyeza East Africa, wengine ambao mwisho wao mpaka wa Namanga wakiambiwa wawe boosted na Chibu, mashabiki wao wanakuja juu, aaaaaargh! Ama kweli mwenye mbili havai moja...
diamond ana make headline mpk anaboa mosi Saa 5 leo atakua jumba la big brother pili kumtoa q chillah video na audio tatu hii video mpya na waje. watasanda tu
good morning people kama kawa kama dawA harakati zina endelea......!! msisahau escrow saga kwa muskabali wa Tanzania yetu.
asubuhi njema.
diamond ana make headline mpk anaboa mosi Saa 5 leo atakua jumba la big brother pili kumtoa q chillah video na audio tatu hii video mpya na waje. watasanda tu
Hahahaaaaaahhh! Roho za kwanini zinawasumbua