Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

acha wasandee,,, afu yule dogo aloimba barua kwa diamond kanikosha sana nimemkubali sanaaaa

kuna mwingine jana kaniacha hoi ni mtoto wa miaka 5 maongezi yalikua iv MIMI: unaitwa nani
MTOTO: Junior Diamond
MIMI: viatu vyako vizuri
MTOTO:viatu ka vya diamond
MIMI:Unamjua diamond
MTOTO: Kaimba nimetembea tembea
mi mbavu cna nlicheka sana jana
 
ungemrekodi ungetisha sana
 
haya mambo ya escrow yanatia hasira sana....hapa nilipo kichwa kinauma..nchi ngumu sana hii.
 
kuna mwingine jana kaniacha hoi ni mtoto wa miaka 5 maongezi yalikua iv MIMI: unaitwa nani
MTOTO: Junior Diamond
MIMI: viatu vyako vizuri
MTOTO:viatu ka vya diamond
MIMI:Unamjua diamond
MTOTO: Kaimba nimetembea tembea
mi mbavu cna nlicheka sana jana

dogo wa wapi huyo?
 
hahaaaah katisha dogo
 
Wanaosubiri Daimond aangukeeee watasubirii mpaka Yesu arudi labda,sasa jiulize toka tumeambiwa Yesu anarudi mpaka leo tusubiriii yeyooooooi
 
Uwe unachungulia chungulia na wewe sio unakimbia hivyoo
Umenena Eshy m.s, sasa sio kuchungulia chungulia tena, bali kupita na ku-spend enough time for breakfast, lunch na dinner... kwanza majukwaa mengine ndo hivyo tena, full stress!!!
 
Last edited by a moderator:
Niko siasani wakuu lissu anaongea....kamata wezi meeennnn....
 
Back
Top Bottom