chukuachako
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 1,209
- 817
Huo mzigo aloshirikishwa ma Waje una atareee....!!
....sema kazngua kdgo ile sauti...
ushauri kapata next time atarekebisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo mzigo aloshirikishwa ma Waje una atareee....!!
....sema kazngua kdgo ile sauti...
acha wasandee,,, afu yule dogo aloimba barua kwa diamond kanikosha sana nimemkubali sanaaaa
kuna mwingine jana kaniacha hoi ni mtoto wa miaka 5 maongezi yalikua iv MIMI: unaitwa nani
MTOTO: Junior Diamond
MIMI: viatu vyako vizuri
MTOTO:viatu ka vya diamond
MIMI:Unamjua diamond
MTOTO: Kaimba nimetembea tembea
mi mbavu cna nlicheka sana jana
kuna mwingine jana kaniacha hoi ni mtoto wa miaka 5 maongezi yalikua iv MIMI: unaitwa nani
MTOTO: Junior Diamond
MIMI: viatu vyako vizuri
MTOTO:viatu ka vya diamond
MIMI:Unamjua diamond
MTOTO: Kaimba nimetembea tembea
mi mbavu cna nlicheka sana jana
kuna mwingine jana kaniacha hoi ni mtoto wa miaka 5 maongezi yalikua iv MIMI: unaitwa nani
MTOTO: Junior Diamond
MIMI: viatu vyako vizuri
MTOTO:viatu ka vya diamond
MIMI:Unamjua diamond
MTOTO: Kaimba nimetembea tembea
mi mbavu cna nlicheka sana jana
Wanaosubiri Daimond aangukeeee watasubirii mpaka Yesu arudi labda,sasa jiulize toka tumeambiwa Yesu anarudi mpaka leo tusubiriii yeyooooooi
Kila la heri kijana chibu.
Umenena Eshy m.s, sasa sio kuchungulia chungulia tena, bali kupita na ku-spend enough time for breakfast, lunch na dinner... kwanza majukwaa mengine ndo hivyo tena, full stress!!!Uwe unachungulia chungulia na wewe sio unakimbia hivyoo
hamna tatizo bhana, we unaongozana nae tu...Me hiyo Modo tu hooooiiiii......hahahaaa Muhibu wangu havai hivyo nikaongozana nae.....hahaaaa katisha...
Wanaljua sana hilo, sema ndo basi tu wanajipa matumaini ili waendelee kushi kwa amani bandia...kusubiri daimond aanguke ni sawa na kusubiri embe lianguke kwenye muarubaini
dogo wa wapi huyo?
Me hiyo Modo tu hooooiiiii......hahahaaa Muhibu wangu havai hivyo nikaongozana nae.....hahaaaa katisha...
Niko siasani wakuu lissu anaongea....kamata wezi meeennnn....