Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
- Thread starter
- #1,841
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wema vipi hapa una swali?
Vanesa mdee aki take selfie na diamond....aah haya bwana.
Hawana hawana LA kusema hawana...
Anaunguruma unguruma LA kusema hawana....
Hawamuwezi ndo mana wanamsemaaa
Hawamuwezi ndo maana wanamchukiaaaa
Na badooooo....wakaoge wasugue na makwapa.....
Wema vipi hapa una swali?
Huyo dadaake kweli ?
Mbona ana mdomo mdogo?
Yes, nime graduate juzi cuzoo
Hongera zake, maana kuna watu wametumia pesa nyingi sana kuwa maarufu na kujaribu kufahamika dunia nzima, ila hawakuweza hata kufika robo ya stage aliyofikia ndomo, kuna watu wamezaliwa ULAYA na kukulia uko, tena wamesoma kabisa shule za muziki za bei mbaya na wanaweza kutumia vyombo vyote vya muziki na kuimba kama chris brown au Neyo, ila hawakuweza kufika hata robo ya stage aliyofikia ndomo.
Wakati wakina papa Nyangumi na papaa pumb* wakiteketeza ma million ya shilingi kutafuta umaarufu ambao mpaka kesho wameishia kufahamika Meeda bar na rose garden, mtoto wa watu tena kutoka Tandale ameweza kuiteka Africa nzima na kuiweka kiganjani mwake, Sio kwa ajili ya pesa nyingi kama bakhresa , ila ni kipaji tu kimemtoa kwenye herufi Z to B
Diamond ana madada wangapi.kilamtu dada yake