Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Kwahiyo yule anayepigiwa shangwe kwenye picha namba 3 & 4 ni mzee Yusuf sio? Na kama ungejuwa na uzoefu na show za Taarabu basi ungeifanyia tathimin hadhira iliyojaa hapo ukumbini kisha ukapata jibu jibu... labda kwa kukukumbusha tu, angalia ilivyokuwa 2012 hapo hapo Dar Live:
View attachment 214148

Asante kwa kutukumbusha
 
hizo info sikuwepo, nilizisikia tu juu juu...

Ni upuuzi tu kushindana na Annonymous hunijui sikujui hapa tushindane kwa hoja tu, hata mtu akisema wewe au mimi ni shoga haikubadilishi.

Tusichukiane kwa mtu kuwa na msimamo wake, Diamond ni msanii mwenye mafanikio na anakubalika na watu lakini si kwamba yeye ndio mwenye mvuto peke yake.
 
na kama unalielewa kua mpole mshabikie msanii unaempenda bila kutoa lawama,matusi,kashifa na kejeli kwa usiempenda ishi huru
 
Nani amesema Diamond ndie mwenye mvuto peke yake? Hata huyo Yesu si kwamba dunia yote ni wafuasi wake, hali kadhalika kwa Muhammad! Nimehoji, ni muziki gani TZ hii unabamba kati ya taarabu na Bongo Flavor hadi uone mashabiki waliokuwa wamejaa Dar Live ni kwa ajili ya Mzee Yusuf! Nimekupa picha za show ya Diamond hapo hapo Dar Live 2012 na kulikuwa na nyomi vile vile; sasa ni nini kilichokufanya waliojaa sasa hawakujaa kwa ajili ya Diamond bali Mzee Yusuf?
 
na kama unalielewa kua mpole mshabikie msanii unaempenda bila kutoa lawama,matusi,kashifa na kejeli kwa usiempenda ishi huru
Tatizo la huyo mpwa ndo hapo... yaani yeye kila siku ni kashifa na matusi... yaani kwake yeye hakuna msanii malaya nchi hii zaidi ya Diamond... ndo maana watu wanahisi anasumbuliwa na chuki!! Halafu haya mambo ya mwanaume kila siku hadithi ndo hiyo hiyo kushadadia umalaya wa mwanaume mwenzako ni jambo ambalo haliingii akilini hata kidogo!!!
 
nasubiri jibu lake
 
Kama mtanzania natamani sana artists wengine kama Ali kiba wafanye poa kimataifa tuwe nao wengi kama ambavyo wanao wanigeria....
Mfano video ya jamaa kwa wiki haikutakiwa iwe na viewers below laki 2...inasikitisha sana kwa mtu ambae yuko kwa game kitambo...
Lakini muda mwingine ukiwaza tambo na majigambo ya hovyo ya mashabiki wake,unaishia kusema aaaaargh sawa tu sasa ngoja wajikokote.
Yaani nikikumbuka tambo zao za oooh video ikitoka,oooh Mara ntakua nashinda YouTube hahaha wakasahau hata ukilala YouTube unahesabika ni viewer mmoja,sasa stress zao wanataka kumalizia kwa Chibu???
Najiuliza hivii wangejaliwa hata views milioni tu si tusingelala hapa jf????
 
Ama kweli tatizo nyota hahaha...
Mpwa wa Dinazarde anataka chibu asi shine peke yake hahahaha....nimecheka sana usiku huuuu
 
Last edited by a moderator:
Kama mtanzania natamani sana artists wengine kama Ali kiba wafanye poa kimataifa tuwe nao wengi kama ambavyo wanao wanigeria....
Mfano video ya jamaa kwa wiki haikutakiwa iwe na viewers below laki 2...inasikitisha sana kwa mtu ambae yuko kwa game kitambo...
Lakini muda mwingine ukiwaza tambo na majigambo ya hovyo ya mashabiki wake,unaishia kusema aaaaargh sawa tu sasa ngoja wajikokote.
Yaani nikikumbuka tambo zao za oooh video ikitoka,oooh Mara ntakua nashinda YouTube hahaha wakasahau hata ukilala YouTube unahesabika ni viewer mmoja,sasa stress zao wanataka kumalizia kwa Chibu???
Najiuliza hivii wangejaliwa hata views milioni tu si tusingelala hapa jf????
Upo sahihi kabisa... ni hawa mashabiki maandazi wa Ali Kiba ndio wametufanya wengi wetu tuchukue upande wakati before that pamoja ni kwamba tulikuwa ni mashabiki wa Chibu lakini bado tulikuwa tunaonesha appreciation yetu kwa Kiba hadi pale walipoanza ushabiki wao ambao kamwe hautakuja kumsaidia Kiba!! Na wengi wao wala hawaonekani kwamba muziki wenyewe wanaujua zaidi ya kuonesha usahabiki maandazi!!

Na hilo la kwamba wangekuwa Mwana ingepata view nyingi matusi yangezidi wala sio uongo... ikiwa walikuwa wanaringishia hata thread yao kuwa na michango mingi; seuze views!! Anyway, siwalaumu... hawana cha kujivunia kwahiyo chochote kitakachopatikana kwao lazima iwe ndo stori yenyewe!!!
 
Tuzo zao ni siredi haha....siredi ambayo na kutongozana kupo..
 
Husuda haina sababu... hoja yake kila siku eti Diamond malaya... yaani dume zima kila siku kutangaza umalaya wa wanaume wenzake kwenye mitandao... what a shame! Yaani huyu jamaa sijawahi kumsikia akiongea lingine zaidi ya kushadadia umalaya wa Diamond... mwanaume unaushikia bango umalaya wa mwanaume mwenzako!!!!

itakua kuna kitu diamond kamfanya huyu mshkaji c o bure nimefatatilia comments zake cku nyingi hii c o chuki ya hvihvi. angekua nae karibu angemwekea sumu, huyu mwanaume wa wapi ameshikia bango umalaya wa dume lenzie
 
Huyo hater tuu...hana jipyaa....nashangaa mnampa airtime humuu...
 
Upo sahihi kabisa... ni hawa mashabiki maandazi wa Ali Kiba ndio wametufanya wengi wetu tuchukue upande wakati before that pamoja ni kwamba tulikuwa ni mashabiki wa Chibu lakini bado tulikuwa tunaonesha appreciation yetu kwa Kiba hadi pale walipoanza ushabiki wao ambao kamwe hautakuja kumsaidia Kiba!! Na wengi wao wala hawaonekani kwamba muziki wenyewe wanaujua zaidi ya kuonesha usahabiki maandazi!!

Na hilo la kwamba wangekuwa Mwana ingepata view nyingi matusi yangezidi wala sio uongo... ikiwa walikuwa wanaringishia hata thread yao kuwa na michango mingi; seuze views!! Anyway, siwalaumu... hawana cha kujivunia kwahiyo chochote kitakachopatikana kwao lazima iwe ndo stori yenyewe!!!

Sure nlikuwa simchukii Kiba before....ila hawa mashabiki maandazi wa humu ndo wamefanya nimshushe huyo King waoo...

Siku ile video ya Kiba inatoka, Dogo kanifuata akanambia Dada video ya Ali Kiba mbayaa....na wala hahangaiki na MB zangu kuiangalia YouTube....wakati kipindi mile fundi katoa kichupa ililuwa shidaa hadi nikaamua kuidownload......
 
mwenyewe cmchukii ila hiz kelele za mashabiki ndo zinaniboa kinoma noma na bora ingekua kelele tu pale wanapomringanisha na Diamond afu mbaya zaidi anapoungana nao anaharibu zaidi anapojiita king Kiba yaan nakereka mpk mwisho
 
Back
Top Bottom