Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

nimeskia platnumz akiimba na p square. Walimtembelea kwenye rum yake. Tusishangae collabo ya platnumz na p square. Source Amplifaya leo.
 
Aisee mi mshamba sana wa hiyo makitu na wala sikumbuki nimekula lini mara ya mwisho ila nilipokula, niliipenda aisee... lakini Bi Mkubwa, wacha bwana... humwambii kitu na vyakula vya nyumbani... kuna cku nimemkuta anaufinya ugali wa muhogo; namuuliza umeutoa wapi... kumbe kaenda mwenyewe Tandika kununua makopa... nikaona, duh... kweli jasiri haachi asili!! Halafu ninavyomkubali huyu Bi. Mkubwa, pande zile kakaa muda mfupi sana wa maisha yake... in fact, wakati yupo kabinti kadogo lakini hajasahau kabisa asili yake!! Lakini nyie mashost wa cku hizi... mnh, hamkawagi "aka, mie siwezi kuula huo ugali wa kunata..." aaaaargh, halafu unakuta mtu mwenyewe anayesema hivyo kaja mjini juzi kati tu hapa!!!!

Yani Mimi pamoja na kukulia huku uzaramoni ila vykula vya kukaya kama kawaa....Kitu ugali wa muhogo kwa Ng'onda chuku chuku .....acha kabisaaa ...
Mchuzi wa samaki uliotiwa embe....huku ming'oko, pale chikandanga....hatari sana.
 
Aisee we unafaaa kabisa kuwa rafiki ake mama ake chige. Ila msema kweli mpenda wa Mungu... mie vyote sawa tu lakini ugali wa muhogo sijawahi kuuzoea kabisa maishani mwangu! Nakumbuka zamani wakati tupo wadogo tunapoenda bush walikuwa wananiona kimeo... na nilikuwa kimeo kweli kweli maana ake ilikuwa piga ua ugali wa muhogo huwezi kunilishan!!! Sasa issue ilikuwa kama tunaenda majira ya masika; mahindi huyaoni, mpunga unafanya kuusikia kwenye bomba tu... chakula pekee na cha uhakika ni ugali wa muhogo, e bwana eh..., thanks God cku hizi kama ninaenda sina sababu ya kusumbua wenyeji!!!! Ming'oko kwa kule pande za kwetu ni adimu sana... haionekani hovyo hovyo kutokana na kwisha kwa misitu... hata ukibahatika kuikuta mara nyingi kama sio zote inakuwa ya kuletwa kwahiyo suala la chingandanga utafanya kulisikia kwenye bomba tu manake huwezi kupata ming'oko ya kujipendelea...
 
Last edited by a moderator:
Show ilikuwa pouwa sana kijana anatuwakilisha vizuri kwakwel... wasanii wote walipiga nyimbo mojamoja, so diamond Ali perform my number one remix
missed the show... dah, nilikuwa na usongo nayo sana hiyo show... itabidi niitafute hata Youtube.
 
diamond n lazma afanye nao ngoma hapo
Ulipotelea wapi wewe!!!?? Karibu tena kwenye familia pendwa.. isiyo na chembe ya stress; full vicheko na shangwa... ah! Yaani cku hizi hata kamwili kameanza kunijia jia kidogo...
 
Aisee we unafaaa kabisa kuwa rafiki ake mama ake chige. Ila msema kweli mpenda wa Mungu... mie vyote sawa tu lakini ugali wa muhogo sijawahi kuuzoea kabisa maishani mwangu! Nakumbuka zamani wakati tupo wadogo tunapoenda bush walikuwa wananiona kimeo... na nilikuwa kimeo kweli kweli maana ake ilikuwa piga ua ugali wa muhogo huwezi kunilishan!!! Sasa issue ilikuwa kama tunaenda majira ya masika; mahindi huyaoni, mpunga unafanya kuusikia kwenye bomba tu... chakula pekee na cha uhakika ni ugali wa muhogo, e bwana eh..., thanks God cku hizi kama ninaenda sina sababu ya kusumbua wenyeji!!!! Ming'oko kwa kule pande za kwetu ni adimu sana... haionekani hovyo hovyo kutokana na kwisha kwa misitu... hata ukibahatika kuikuta mara nyingi kama sio zote inakuwa ya kuletwa kwahiyo suala la chingandanga utafanya kulisikia kwenye bomba tu manake huwezi kupata ming'oko ya kujipendelea...

Basi mie na Bi mkubwa tunafaana aisee......Ugali wa muhogo umenishinda kuupika tuu...unahitajj nguvu kidogo, halafu Mimi mtoto wa baba kuvunja biskuti siwezi....ila kuula tuu, shurti naubadilishia mikao....
 
Last edited by a moderator:
Ulipotelea wapi wewe!!!?? Karibu tena kwenye familia pendwa.. isiyo na chembe ya stress; full vicheko na shangwa... ah! Yaani cku hizi hata kamwili kameanza kunijia jia kidogo...

katochi kangu kameharibika yaan nlkuwa naumwa kutokuwepo katika hii familia,now nmepata kngine but sio kazuri maana hata hyo show ya jana sitoiona ikitupiwa kwa youtube
 
Back
Top Bottom