Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Hahaaa nitakimbiaje kwa mfano? Na Nnavopenda machinga lol
Haaaaa! Huna lolote wewe... ulipoona namuita Kim nana aje kuongeza nguvu tu, ukaingia mitini, manake ukaona mnh! Kim nana mwenyewe ndo keshapania, naweza nikapatikana kweli kweli hapa... ukaona isiwe taabu; nduki!
 
Last edited by a moderator:

Heheeeee ungejua jinsi nnavyo yataka hayo mahaba ya kimachinga,
 
Last edited by a moderator:
kwa mbaaaaali, nahisi kama naanza kunenepa nenepa hivi! yaani huku mm, pembeni yangu Eshy m.s ahaaaaa, acha bwana... shavu lazima lije tu.

Hahahaaaa unajua huu uzi ni kwaajili ya chibu, afu wapambe wengine wataona wivu haya mahaba ya hadharani, ntakutafuta private my chige
 
Last edited by a moderator:
kwah! kwah! kwah! dadangu we una visa... nilikuwa nalazimika ku-pause mjadala kila wakati kwa sababu huu ni uzi kwa ajili ya Rais wa Wasafi.

Kweli tena mjadala ni mzuri, tena unaweza kuwa useful hata kwa Rais.....Si unajua mapenzi yanampigaga vibao?

Hadi akatoa hii

Diamond Platnumz - Mapenzi Basi (Official Audio S…: http://youtu.be/tl7j0JQ_s54
 
Haaaaa! Huna lolote wewe... ulipoona namuita Kim nana aje kuongeza nguvu tu, ukaingia mitini, manake ukaona mnh! Kim nana mwenyewe ndo keshapania, naweza nikapatikana kweli kweli hapa... ukaona isiwe taabu; nduki!

Aaaah huyo wa kwetuu...lazima tumpandishe "WiFi nae coach"
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa unajua huu uzi ni kwaajili ya chibu, afu wapambe wengine wataona wivu haya mahaba ya hadharani, ntakutafuta private my chige
dah... aisee we una akili kishenzi... mi mwenyewe hapa nilikuwa naleta sound kwa machale manake nilijua lazima wadau wa-mind! Mbaya zaidi unavyowarusha watu, kila mara unasema "una-mind Chingaz" halafu mleta uzi ni Chinga One usishangae port hapo karoho kanamuuma kishenzi huku akijisemea: "ebo! huyu Eshy m.s vipi huyu? anajifanya anawa-feel Chingaz wakati mimi najiita Chinga live halafu ananipotezea!" kwah kwah kwah!!! Basi tuendelee na mada ya Chibu hapa ndo maana hata Kim nana nilimwambia hapa sio pahala pake!
 
hahahaaaaa una utani na Chinga One wewe,
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom