kwah! kwah! kwah! dadangu we una visa... nilikuwa nalazimika ku-pause mjadala kila wakati kwa sababu huu ni uzi kwa ajili ya Rais wa Wasafi.Jamani chige na zai katoto endeleeni...mjadala mzuri...naufutilia hivo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwah! kwah! kwah! dadangu we una visa... nilikuwa nalazimika ku-pause mjadala kila wakati kwa sababu huu ni uzi kwa ajili ya Rais wa Wasafi.Jamani chige na zai katoto endeleeni...mjadala mzuri...naufutilia hivo...
Haaaaa! Huna lolote wewe... ulipoona namuita Kim nana aje kuongeza nguvu tu, ukaingia mitini, manake ukaona mnh! Kim nana mwenyewe ndo keshapania, naweza nikapatikana kweli kweli hapa... ukaona isiwe taabu; nduki!Hahaaa nitakimbiaje kwa mfano? Na Nnavopenda machinga lol
Haaaaa! Huna lolote wewe... ulipoona namuita Kim nana aje kuongeza nguvu tu, ukaingia mitini, manake ukaona mnh! Kim nana mwenyewe ndo keshapania, naweza nikapatikana kweli kweli hapa... ukaona isiwe taabu; nduki!
just a matter of time, itawekwa tu youtube.Show ya jana glo nitaionaje waungwana sikupata chance ya kuangalia
kwa mbaaaaali, nahisi kama naanza kunenepa nenepa hivi! yaani huku mm, pembeni yangu Eshy m.s ahaaaaa, acha bwana... shavu lazima lije tu.Heheeeee ungejua jinsi nnavyo yataka hayo mahaba ya kimachinga,
mwana wacha niichungulie hii manake nilikuwa sijapata bahati ya kuiona.East African Top Ten Chart ya SoundCity, DiamondPlatnumz ana ngoma mbili na Mdogo Mdogo ipo namba mojaView attachment 217392View attachment 217393 wameweka show yao youtube unaweza kuangalia kupitia
https://www.youtube.com/watch?v=bKybkeOMXoc
Show ilikuwa pouwa sana kijana anatuwakilisha vizuri kwakwel... wasanii wote walipiga nyimbo mojamoja, so diamond Ali perform my number one remix
and always hard work pay.acha akimbize anajituma mtoto wa watu..
ni kwavile anafahamu kwamba fursa kama zile ni adimu sana kwahiyo mtu lazima umalize hata mbegu za akibaIla inaonekana alipania ile show dah
kwah! kwah! kwah! dadangu we una visa... nilikuwa nalazimika ku-pause mjadala kila wakati kwa sababu huu ni uzi kwa ajili ya Rais wa Wasafi.
Haaaaa! Huna lolote wewe... ulipoona namuita Kim nana aje kuongeza nguvu tu, ukaingia mitini, manake ukaona mnh! Kim nana mwenyewe ndo keshapania, naweza nikapatikana kweli kweli hapa... ukaona isiwe taabu; nduki!
dah... aisee we una akili kishenzi... mi mwenyewe hapa nilikuwa naleta sound kwa machale manake nilijua lazima wadau wa-mind! Mbaya zaidi unavyowarusha watu, kila mara unasema "una-mind Chingaz" halafu mleta uzi ni Chinga One usishangae port hapo karoho kanamuuma kishenzi huku akijisemea: "ebo! huyu Eshy m.s vipi huyu? anajifanya anawa-feel Chingaz wakati mimi najiita Chinga live halafu ananipotezea!" kwah kwah kwah!!! Basi tuendelee na mada ya Chibu hapa ndo maana hata Kim nana nilimwambia hapa sio pahala pake!Hahahaaaa unajua huu uzi ni kwaajili ya chibu, afu wapambe wengine wataona wivu haya mahaba ya hadharani, ntakutafuta private my chige
Sema hilo hapo nalo neno...!! ngoja nijikumbushie hiyo Youtube kwanza....Kweli tena mjadala ni mzuri, tena unaweza kuwa useful hata kwa Rais.....Si unajua mapenzi yanampigaga vibao?
Hadi akatoa hii
Diamond Platnumz - Mapenzi Basi (Official Audio S…: http://youtu.be/tl7j0JQ_s54
dah... aisee we una akili kishenzi... mi mwenyewe hapa nilikuwa naleta sound kwa machale manake nilijua lazima wadau wa-mind! Mbaya zaidi unavyowarusha watu, kila mara unasema "una-mind Chingaz" halafu mleta uzi ni Chinga One usishangae port hapo karoho kanamuuma kishenzi huku akijisemea: "ebo! huyu Eshy m.s vipi huyu? anajifanya anawa-feel Chingaz wakati mimi najiita Chinga live halafu ananipotezea!" kwah kwah kwah!!! Basi tuendelee na mada ya Chibu hapa ndo maana hata Kim nana nilimwambia hapa sio pahala pake!
Aaaah huyo wa kwetuu...lazima tumpandishe "WiFi nae coach"
Sema hilo hapo nalo neno...!! ngoja nijikumbushie hiyo Youtube kwanza....
Nime ufatilia huu mjadala kwa karibu sana nikasema ngoja nikae kando kwanza maana chige naona ana kamua kweli kweli kaanza na zai katoto mida ya mchana na sasa yuko na wewe Eshy.m.shahahaaaaa una utani na Chinga One wewe,
Nime ufatilia huu mjadala kwa karibu sana nikasema ngoja nikae kando kwanza maana chige naona ana kamua kweli kweli kaanza na zai katoto mida ya mchana na sasa yuko na wewe Eshy.m.s
Dah... kweli Chibu noma... nimeenda Youtube kwa ajili kuangalia nyimbo moja tu nimejikuta namaliza nyimbo tano ka' masihara hivi...Ndo hivyo, mapenzi yanaumiza...