Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

E bwana eh! Coaster 10, na buku tano tano juu... duh! Hii show ya Kigali sijui alikodisha coaster ngapi cjui na hao jamaa waliodata bila shaka walilipwa franc za kutosha!! View attachment 221177What about hii ya Mombasa?View attachment 221178 Huyu Chibu kama hakwenda Mombasa na Wasambaa wa Tanga cjui....!!

Karibu mtaani kwetu mpwa, unafikiri kuna vya maana basi>>>View attachment 221179 View attachment 221181 View attachment 221180 View attachment 221194 Ayaaaa! Yaan hapa bado moja tu, dah... Tuzo Ya Nani Mkali Itolewayo na Radio One!!!View attachment 221182 View attachment 221183 View attachment 221190 View attachment 221192 Hivi Mtaani kwenu mnatunyima nini vile?

Mmmh mtu ukirudi tena ujue una roho ngumu hatari.
 
hahahaaaaaa chige wewe ni nyokooo, u made my evening kwa kweli umemkomeshaje, embu wakandae sauti za kuzomea huko maana za kushangilia tunazo sisi.
 
Last edited by a moderator:
Mmmh mtu ukirudi tena ujue una roho ngumu hatari.
buhahahahaaaaaaa, unajua nashindwa kuzuia kicheko, wana roho za paka hao, stresss ugonjwa mbaya sana, can u image sie twapanga kushangilia full kuburudika na vitu flani hivi amazing toka kwa LE PREZIDENTIIII alafu wao eti wanajipanga kuzomea, hivi ilikiwaje wakajikuta wote wanaakili zinazofanana?? maskini hadi wanaonea huruma yaani.
 
ahahahahahahahahahahahahahahahahahaaaaaaa kwikwi kwi kwi kwi kwoooo, koho koho koho kohooooooooooooo sijawahi kucheka kama leo chige???? sikutakiiii
 
Last edited by a moderator:
buhahahahaaaaaaa, unajua nashindwa kuzuia kicheko, wana roho za paka hao, stresss ugonjwa mbaya sana, can u image sie twapanga kushangilia full kuburudika na vitu flani hivi amazing toka kwa LE PREZIDENTIIII alafu wao eti wanajipanga kuzomea, hivi ilikiwaje wakajikuta wote wanaakili zinazofanana?? maskini hadi wanaonea huruma yaani.
Wana akili zinazofanana kwa kuwa wana maradhi yanayofanana... kupenda visivyopendeka, chuki, wivu, husuda, majungu, fitina, wapo standby kusubiria kuona downfall za wengine, kwa miaka kadhaa sasa wana "tuzo" moja tu, inaitwa "Nani Zaidi" inayoendeshwa na Abdallah Mwaipaya wa Radio One! Ni tuzo pekee duniani ambayo haijasajailiwa popote na mshindi hapewi chochote...
 
Leo uswazi wamepikiwa ubwabwa na kupakiwa kwenye coaster na buku tano juu.
Hivi huoni busara kama hizo taarifa ungepeleka kwingine? manake tulio kwenye uzi huu woooooooote tulikuwa kwenye hizo coaster na kulamba buku tano tano kwahiyo kuja kutuambia wakati tulikuwa humo ni kupoteza muda wako!
 
vipi hapo unapokaa hakuna kituo cha polisi karibu ili ukashtaki?
Tena mweleze kama hafahamu wahusika mimi ni mmoja wao... nilipakiwa kwenye coaster, nikapiga ubwabwa na buku tano juu lakini pamoja na yote hayo, am too smart katika kutofautosha kati ya Eksi na Kuzidisha, msalaba na kujumlisha na hivo sipo kabisa kwenye kundi la wajinga wanaodhani 1+1 = 11 !!
 
Hivi huoni busara kama hizo taarifa ungepeleka kwingine? manake tulio kwenye uzi huu woooooooote tulikuwa kwenye hizo coaster na kulamba buku tano tano kwahiyo kuja kutuambia wakati tulikuwa humo ni kupoteza muda wako!

Kwingine mtaa gani?kanunue kitumbua hyo buku 5 lako.
 
Back
Top Bottom