Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Hakika Khadija kopa kapendezesha sana huu wimbo na video..video haichoshi kuangalia...Hakika Diamond atatawala soko la muziki kwa miaka mingi sana...
Wewe unapenda mashangingi wale .Watakufunika pua hiyo na matako Yao .
 
Nani alikuambia Diamond anafanya muziki kwa ajili ya tuzo? Au ni mwanamuziki au msanii gani aliwahi kupata tuzo kila mwaka katika kipindi chake chote cha usanii?!

MMMH ungekosekana ningeshangaa sana, watu na mashabiki wao... ivi ukuta mmeshajenga au?
 
Hakika Khadija kopa kapendezesha sana huu wimbo na video..video haichoshi kuangalia...Hakika Diamond atatawala soko la muziki kwa miaka mingi sana...
Jamaa unapenda wezere tu! mahaba lazima yakuue
 
Ivi huyu mleta uzi hajui kwamba sasa ivi diamond anatarget zaidi kuzikomba na tuzo za nje na sio tena za kili,coz izo za kili anazo kifurushi as mpk sas tok tuzo za kili zimeanza yy ndo anaongoza kwa kuwa na mituzo mpk kero!so haitasumbua ata akikosa ths year km unavosema,ingawaje najua atazipata tu cuz kwa izi ngoma na ivi vichupa vikali anavoviachia,lazima watashindwa tu kubana km vile madj wanavoshindwa kubana kucheza ngoma zke kupitia media tifauti tofauti...
 
Na mungu akipenda tunasubiri ya pale Ghana,11 April so get prepared kwnda kuvunja maapple coz nazi zimepanda bei...hahahahahaaaaa!
 
Ivi huyu mleta uzi hajui kwamba sasa ivi diamond anatarget zaidi kuzikomba na tuzo za nje na sio tena za kili,coz izo za kili anazo kifurushi as mpk sas tok tuzo za kili zimeanza yy ndo anaongoza kwa kuwa na mituzo mpk kero!so haitasumbua ata akikosa ths year km unavosema,ingawaje najua atazipata tu cuz kwa izi ngoma na ivi vichupa vikali anavoviachia,lazima watashindwa tu kubana km vile madj wanavoshindwa kubana kucheza ngoma zke kupitia media tifauti tofauti...

Ivi unajua tuzo za kili zimeanza lini na ndomo kaanza kuimba lini? Au unajiropokesha, jide ndiye anayeongoza kwa tuzo nyingi pambafu wewe nfyyuuu
 
Kweli nimejikubali mm ni master mind bila kutumia nguvu nimeweza kubdilisha mada kuhusu kibwengo ndomo mpk kujibizana na vibwengo kadhaa wenye hoja za kimajinuniWekeni hoja mbona mm nimetoa sababu zangu??
unavoringa sasa
 
mbona tayar ana tuzo mbili!!!!!!
1.video bora-ntampata wapi
2.msanii bora afrika mashariki-diamond plattnumz

anayepinga anambie hizi tuzo zitaenda kwa nani
 
Toa facts acha kudownload vpicha vyako
Hivi kwa akili yako unatarajia naweza kupoteza muda wa kukupa fact kilaza kama wewe? Umesahau juzi nilipo-delete post baada ya kuona kumbe ninayemuandikia is just the dumbest asshole moron? Come on little chick, I ain't ya level to argue with, you understand moron?
 
Aliye andika huu uzi ndio baba LA vibwengo popote alipo ila huyu lazma atakua yupo zombie land
wewe, hakuna wafi'raji kwenye huu uzi, utahangaika sana kuutangaza huo mku'ndu wako, hutapata wateja hapa!!!
 
Ivi unajua tuzo za kili zimeanza lini na ndomo kaanza kuimba lini? Au unajiropokesha, jide ndiye anayeongoza kwa tuzo nyingi pambafu wewe nfyyuuu
Ivi unajua kweli unachoongea we mbwiga?huy jdee lini aliwah kuchukuwa tuzo za kili tatu mfululizo km co mwaka jana tu?miaka yot ilopita alikuwa anaishia kuchukua moja moja au mbili(hizi hazizidi miongo mitatu)...
Na toka imeanzishwa kili awards ni miaka 12 sas km ckosei...ambapo kwa hesabu za haraka jdee atakuw na ama tuzo 9-10 za kili...na wakati platnumz kaanz kutoka 2009 akachukua 3,then 2,then 3 then 7 na ndo kwanza toka ametoka kweny game ana km miaka 5-6 tu bt kafanya matuc ya kutosha!
 
Ivi unajua kweli unachoongea we mbwiga?huy jdee lini aliwah kuchukuwa tuzo za kili tatu mfululizo km co mwaka jana tu?miaka yot ilopita alikuwa anaishia kuchukua moja moja...
Na toka imeanzishwa kili awards ni miaka 14 sas...ambapo kwa hesabu za haraka jdee atakuw na ama tuzo 9-10 za kili...na wakati platnumz kaanz kutoka 2009 akachukua 3,then 2,then 3 then 7 na ndo kwanza toka ametoka kweny game ana km miaka 5-6 tu bt kafanya matuc ya kutosha!

Huyo ndomo mwaka huu atawapiga pumb * mi nipo apa
 
Aliye andika huu uzi ndio baba LA vibwengo popote alipo ila huyu lazma atakua yupo zombie land
Yaani mwanaume mzima unafungua account JF kwa ajili ya Diamond manake post zako 99% ni kwa ajili ya Diamond... we utakuwa shoga na unatafuta mabwana hapa si bure! Mwanaume aliyekamilika na anadindisha sawa sawa hawezi kufungu akaunti kwa ajili ya kum-diss mwanaume mwenzake! Kwahiyo kama umekuja kutangaza biashara yako ya uchoko hakuna anayenunua hiyo najisi kwahiyo usitutafutie ban we kahaba wa kiume! Nenda wanakonunua macho'ko kama wewe, huu uzi umepotea!
 
Back
Top Bottom