Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivi unajua ndo maana unakula ban ovyoovyo...!

umempigia kura diamond mtvmama awards? au unatafuta kiki? Matola
Alikiba alivyoibiwa vitu milioni sita alikuwa anatia huruma saaaaaana, vipi mlijikusanya kumchangia anunue vitu vya ndani? afu mpo wengi pengine hata mngepata pesa mumjengee apate hekalu lake na yeye
data wakumuuliza swali hilo ni Diamond na siyo mimi.huu uzi ni kumdhalilisha mtu ambaye wala hayupo hapa.
Sijui ni malezi gani matola umepewa na wazazi wako kiasa kwamba hueshimu wazazi wa wenzio.
Unasikitisha sana. Na walah nakwambia ningekua mode unge RIP.