Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Leo itakuwa kuna kitu maana hata watu wako banned wakutosha!na ile special thread ya allykiba naona imekuwa suspended kwa masaa kadhaa tangu asubuhi

Hahaaa chezea video kususiwa lazma pachimbike, 😁😁
 
Nakwambia watu wanahasira huko za kufutiwa comment na kupigwa bann mpaka wanatoa matusi kwa jf founder,mods na invisible

Wanatukana wanafikiri hapa ni Instagram,,, team stress wanashida sana
 
Duuuh kumbe wametukana hadi uongozi, kweli wale team stress, na gambe wanazopiga ni za hatari

ahahahhaaa!!watu wanachekesha sana mpaka wengine wameamua kuaga kwamba hawaingii tena jf!!mwingine akasema ataenda kwa shogongo ,nimecheka kweli leo
 
Hatakama mwenzangu lakini sio kwa kupaniki vilee!!!unatukana mpaka uongozi wa Jf kisa ushabiki?mmh!!thisi is too much

Huwa nasemaga kila siku fans wa mfalme wanamlostisha jamaa kwa tabia zao za kiswazi .

Ni wabishi kuelewa , wajuaji wengi.

Wanamatusi balaa ukiwapa kijembe cha kawaida wanakurudishia tusi .Utaitwa "shoga" au " Malaya daah !

Mambo haya yanawqkosti sana so far wanajiharibia reputation zao humu kwa matusi kwa membaz mpaka mods.

Wqnahitaji kubadilika
 
Back
Top Bottom