Kimbley
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 3,050
- 2,104
Mmh ata sijui maana sijaingia huko
Leo itakuwa kuna kitu maana hata watu wako banned wakutosha!na ile special thread ya allykiba naona imekuwa suspended kwa masaa kadhaa tangu asubuhi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh ata sijui maana sijaingia huko
Kiswahili hoyeeee, na watakijuwa Tu
Lazima wakielewe mwaka huu kiroho mbaya tu. Ndio lugha kubwa Africa hamna namna .. alaf kinasound poa sana dats y wanakipenda
Leo itakuwa kuna kitu maana hata watu wako banned wakutosha!na ile special thread ya allykiba naona imekuwa suspended kwa masaa kadhaa tangu asubuhi
Hahaaa chezea video kususiwa lazma pachimbike, 😁😁
BB umeona matusi kwa majirani zetu?
Hahaaa chezea video kususiwa lazma pachimbike, 😁😁
Hatakama mwenzangu lakini sio kwa kupaniki vilee!!!unatukana mpaka uongozi wa Jf kisa ushabiki?mmh!!thisi is too much
Ndio nimepitia kucheki sahv naona tu malalamishi celewi wats goin on?
Kiswahili hoyeeee, na watakijuwa Tu
Nakwambia watu wanahasira huko za kufutiwa comment na kupigwa bann mpaka wanatoa matusi kwa jf founder,mods na invisible
Nakwambia watu wanahasira huko za kufutiwa comment na kupigwa bann mpaka wanatoa matusi kwa jf founder,mods na invisible
Duuuh kumbe wametukana hadi uongozi, kweli wale team stress, na gambe wanazopiga ni za hatari
Hahahahaha naona sasa wasanii wa nje wameamua kutumia lugha yetu adhimu ya kiswahili
#iyanya- nakupenda.
#donalddenial- wangu.
Asante Chibudangote.
ahahahhaaa!!watu wanachekesha sana mpaka wengine wameamua kuaga kwamba hawaingii tena jf!!mwingine akasema ataenda kwa shogongo ,nimecheka kweli leo
ahahahaa!!watu wamepanic vibayaa!!Duh sasa hata ujawashauri na ww c ndugu zetu wale teh teh hawana vifua"
ahahahaa!!watu wamepanic vibayaa!!
Hahahaaaaaa acha wahame ligi imewashinda hahaaa
Hatakama mwenzangu lakini sio kwa kupaniki vilee!!!unatukana mpaka uongozi wa Jf kisa ushabiki?mmh!!thisi is too much
Tatizo watu wanachukulia mambo serious sana!yaani nimecheka sana