Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Hili ni jukwaani la siasa. Sasa diamond anaingiaje huku? Jifunze kufikiri kwa kutumia kichwa!
 
Kwahiyo nana na bumbum ni bongo fleva what?? Bongo fleva basi imekwisha nasema nawe jee mdogo mdogo hivi unaijua bongo fleva vizuri lakini?
 
We unaeijua bongo flava tufahamishe basi.
Mi siijui ila hizo nyimbo nilizozitaja sio bongo fleva coz hapo kuna mduara na mchiriku sio maneno yngu ya kwake mwenyewe daimond kwenye interview zake ndo kasema hivyo
 
Kwahiyo nana na bumbum ni bongo fleva what?? Bongo fleva basi imekwisha nasema nawe jee mdogo mdogo hivi unaijua bongo fleva vizuri lakini?

Badala ya kuchoshana, we sema unachotaka kusema!
 
Kuiga wanaigeria sio tatizo, ilimradi watu walete burudani......

Mleta post jiulize we mwenyewe vingapi umeiga upto now?
Kazi tu kuanzisha miuzi ambayo ni useless..
 
Back
Top Bottom