Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond anatakatisha fedha zake kupitia kampeni za ccm
Heheheeeeee
Kwahiyo nana na bumbum ni bongo fleva what?? Bongo fleva basi imekwisha nasema nawe jee mdogo mdogo hivi unaijua bongo fleva vizuri lakini?
Mi siijui ila hizo nyimbo nilizozitaja sio bongo fleva coz hapo kuna mduara na mchiriku sio maneno yngu ya kwake mwenyewe daimond kwenye interview zake ndo kasema hivyoWe unaeijua bongo flava tufahamishe basi.
Kwahiyo nana na bumbum ni bongo fleva what?? Bongo fleva basi imekwisha nasema nawe jee mdogo mdogo hivi unaijua bongo fleva vizuri lakini?
Mkuu sio vita mi nilikuwa napita tu amini unachikiamini sawa ili hizo sio bongo flevaBadala ya kuchoshana, we sema unachotaka kusema!
Middle finger 😀
Unapenda eeh 😀
Kata kiuno hicho.
Kuiga wanaigeria sio tatizo, ilimradi watu walete burudani......
Mleta post jiulize we mwenyewe vingapi umeiga upto now?
Kazi tu kuanzisha miuzi ambayo ni useless..