pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
mletauzi kama ni (me) umejitukana umekaa ki gasho sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini mkuu pwilo hebu mwambie dada yako Shardcole kuwa DIAMOND si wa kufananishwa na msanii yeyote TZ kwa sasa, wakati kimtu chenu kinarudia nyimbo na kushindwa kuilipia video ya mil 10, the Icon of the nation DIAMOND PLATNUMZ ana mizigo kibao ndani ikiwa na mivideo yake tena minyimbo ya gharama hadaiwi hata senti moja na ni za siku nyingi.Mbona mnatukana sana team domo mbona nyinyi mnaanzisha thread za kijinga tuna vunga
Kiki zote zimeisha mjini sijui atatumia kiki gani tena ili atoke maana kwa kiki yule jamaa tungeshamsahau kama sio kiki
We jamaa inaonyesha kwenu wamezaliwa wanawake watupu ila mwanaume uko ww pekee yako,sasa kwa bahati mbaya umejikuta kuadapt tabia za Dada zako.

na halima kimwana?
Mkandara
Katika mambo machache ninayokubaliana na wewe ni hili la majimbo.
Najua tofauti yetu kubwa ni wewe kuwa upande wa ujamaa na mimi kupendelea ubepari ulioenda shule. Lazima tuelewe kuwa CHADEMA na sera yao ya majimbo hawawezi kuitema hata siku moja hata huyu JJ hata kama ataona haifanyi kazi lazima aitetee kwa nguvu zote.
CHADEMA kuitema sera hiyo itakuwa ni kushindwa kisiasa. Mara nyingi huwa nalalamika juu ya halmashauri za miji. Mimi nadhani kama Halmashauri za miji zikiendelezwa na kuwa na nguvu pamoja na kupewa nguzu zaidi za kiutendaji na kuwapunguzia mzigo/nguvu Ma-DC na Ma-RC.
Kama halmashauri zikiwezeshwa na kuwa na uwezo wa kuwatumikia wananchi katika maeneo yao basi mawazo ya JJ yatatekelezeka vizuri zaidi kuliko majimbo ambayo yanahatarisha utaifa. Kuna siku chache zilizopita Mh. Mzee Makamba tuliambiwa amewaagiza Halmashauri kutekeleza matakwa ya Manji. Hayo ndiyo mambo yanayoonyesha Halmashauri zetu hazina nguvu kabisa.
Hivi kama uetekelezaji wa mambo unamsubiri DC au RC au hata waziri mkuu tutaendelea kweli? Leo hii tunaambiwa kuna wizara ya polisi. Hivi kuna jambo gani la kipolisi ambalo lingeshindikana kwenye halmshauri za miji. Leo hii kutokana na uongozi mbovu tunahitaji wizara ya polisi ambayo itakuwa inashughulikia ujambazi.
Kama tungekuwa na watu wanajua nini chimbuko la ujambazi na ni sababu zipi zinasababisha ujambazi tusingekuwa tunahitaji wizara ya polisi.
