Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Mbona mnatukana sana team domo mbona nyinyi mnaanzisha thread za kijinga tuna vunga
Kiki zote zimeisha mjini sijui atatumia kiki gani tena ili atoke maana kwa kiki yule jamaa tungeshamsahau kama sio kiki
Lakini mkuu pwilo hebu mwambie dada yako Shardcole kuwa DIAMOND si wa kufananishwa na msanii yeyote TZ kwa sasa, wakati kimtu chenu kinarudia nyimbo na kushindwa kuilipia video ya mil 10, the Icon of the nation DIAMOND PLATNUMZ ana mizigo kibao ndani ikiwa na mivideo yake tena minyimbo ya gharama hadaiwi hata senti moja na ni za siku nyingi.
 
Last edited by a moderator:
Mleta uzi, ndugu yako K 4 LIFE vipi? au ndio unaona uvivu ku logout afu u log in na kimeo kingine? hahahaha
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana sana Chibu aka Baba Tiffah aka Mume wa Zari. Busu mingi

1447609031057.jpg
regrann from diamondplatnumz - Earlier today when i was receiving my trophy from Africa Youth Choice Awards @Ayca_Africa
athe the ARTIST OF THE YEAR... thanks alot my Fans for the Votes this is for you!!... Can't wait for my Performance tonight at @afrimawards Where are my Naija fans at ????? please tag them🙏
(Mapema leo nlipokuwa napokea tunzo yangu niloshinda Nchini Nigeria kama Msanii bora wa Mwaka Africa kwenye tunzo ziitwazo "CHAGUO LA VIJANA AFRICA @Ayca_Africa Usisahau pia kijana wako usiku wa leo ntakuwa nakuwakilisha kwenye Tunzo za @afrimawards hapa Nigeria) #Regrann
 
Last edited by a moderator:
na halima kimwana?

Kuna uzi uliwekwa humu kuhusu hao watu utafute tu utaupata.

Kwa ufupi walisema wachangiaji kuwa ni dada yake wa hiari. Ni kiungo mchezeshaji katika kumtafutia Dai vimwana.

Hao wasemaji walienda mbali sana wakadai kuwa, kama akikosa bint wa kumtuliza Dai basi pengo hilo anaziba mwenyewe.

Mwisho wa kunukuu. Mwenye hiyo link ya huo uzi anaweza kuuweka.
 
Mkandara

Katika mambo machache ninayokubaliana na wewe ni hili la majimbo.

Najua tofauti yetu kubwa ni wewe kuwa upande wa ujamaa na mimi kupendelea ubepari ulioenda shule. Lazima tuelewe kuwa CHADEMA na sera yao ya majimbo hawawezi kuitema hata siku moja hata huyu JJ hata kama ataona haifanyi kazi lazima aitetee kwa nguvu zote.

CHADEMA kuitema sera hiyo itakuwa ni kushindwa kisiasa. Mara nyingi huwa nalalamika juu ya halmashauri za miji. Mimi nadhani kama Halmashauri za miji zikiendelezwa na kuwa na nguvu pamoja na kupewa nguzu zaidi za kiutendaji na kuwapunguzia mzigo/nguvu Ma-DC na Ma-RC.

Kama halmashauri zikiwezeshwa na kuwa na uwezo wa kuwatumikia wananchi katika maeneo yao basi mawazo ya JJ yatatekelezeka vizuri zaidi kuliko majimbo ambayo yanahatarisha utaifa. Kuna siku chache zilizopita Mh. Mzee Makamba tuliambiwa amewaagiza Halmashauri kutekeleza matakwa ya Manji. Hayo ndiyo mambo yanayoonyesha Halmashauri zetu hazina nguvu kabisa.

Hivi kama uetekelezaji wa mambo unamsubiri DC au RC au hata waziri mkuu tutaendelea kweli? Leo hii tunaambiwa kuna wizara ya polisi. Hivi kuna jambo gani la kipolisi ambalo lingeshindikana kwenye halmshauri za miji. Leo hii kutokana na uongozi mbovu tunahitaji wizara ya polisi ambayo itakuwa inashughulikia ujambazi.

Kama tungekuwa na watu wanajua nini chimbuko la ujambazi na ni sababu zipi zinasababisha ujambazi tusingekuwa tunahitaji wizara ya polisi.

Huyo mzee wao nae anaonekana siketi ilikuwa haikatizi mbele yake bila kutaka kujua kuna nn ndani, sijui muda wa kufanya hayo madudu yte hayo alikuwa anapata wapi? Ndio maana analalama ss hv
 
oyooooooo afrima huko tushachukuwa ya kwanza best east african artist...

pwilo cute b nifah K 4 LIFE poleni sana wadau kura zenu hazikutosha kumuwezesha king kiba kushinda, plus ubavu kuwashawishi majudge kumpa asilimia za ushindi coz kila mtu anajuwa Diamond ndio baba lao
 
Hongera sana sana Diamond
 
Hahaha naona kiba aliona mbali akakacha tuzo mapema. Big up Chibu
 
Last edited by a moderator:
1447621945587.jpg

from diamondplatnumz - Jus wanted to let you know that we have won the first one BEST EAST AFRICAN ARTIST OF THE YEAR! this is for you my fans... thanks for the Votes!!!🙏 thanks alot the_speshoz for this Suit and many thanks to my brother @jm_international_collection for the scarf and Tie! #AfrimaAwards
 
Last edited by a moderator:
oyooooooo afrima huko tushachukuwa ya kwanza best east african artist...

pwilo cute b nifah K 4 LIFE poleni sana wadau kura zenu hazikutosha kumuwezesha king kiba kushinda, plus ubavu kuwashawishi majudge kumpa asilimia za ushindi coz kila mtu anajuwa Diamond ndio baba lao

Mnyoosho unaendeleaaa....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom