Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

DIAMOND PLATNUMZ yupo live ndani ya MAGIC FM kutambulisha wimbo wa UTANIPENDA..
 
Interview za Diamond leo zimenikogesha najisikia furaha sana kusikiliza ya Clouds na Magic

Hongera Diamond kwa bidii

Msisahau kusali jamani salini na kutoa sadaka ndio mwendo wa maishani.
 
Interview za Diamond leo zimenikogesha najisikia furaha sana kusikiliza ya Clouds na Magic

Hongera Diamond kwa bidii

Msisahau kusali jamani salini na kutoa sadaka ndio mwendo wa maishani.

Jamaa mbaaaya sana huyu
 
Wandugu

Fungia mwaka hii ya tuxo inginr ya Too Xclusive

Diamond anawania, kumpigia kura ingia katika linki hii

tooXclusive Awards 2015 VOTE NOW!!!

Utaona jina lake kwenye kipengele cha kuchagua

BEST AFRICAN ARTIST OF THE YEAR

Hongera Diamond kwa kuchaguliwa kwa tuzo ingine.

View attachment 311455

Ukipiga kura yako

Tafadhari rudi humo tena baafa ya masaa 24,kupiga kura. Kila upigapo utapata ujumbe usemao "Thank you for voting"

Nawatakia Sikukuu njema
 
Christmas Day kulikucha supa supa

View attachment 313358

View attachment 313359

View attachment 313360

1451240305178.jpg
 
Kesho ni Ndani ya Owerri, Nigeria.


1451240365012.jpg

Na hapa chini Baba Tiffah aka Mume wa Zari akisubiria kupanda pipa lingine akiwa ndani ya Lagos MM2 leo hii kwenda Owerri

1451240459832.jpg
 
Jana Boxing Day 26/12 akiwa na mkewe na familia na marafiki wakipata kujichana

Picha hizi zinaonyesha Dar kuzuri jamani, eti?

1451240673000.jpg

1451240699493.jpg

1451240721352.jpg

1451240737012.jpg

1451240784964.jpg
 
Back
Top Bottom