Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

d42799c72b1fe634e1992d9085b5518c.jpg
 
Niliwahi kusema humu siku moja. Unawezaje kutoa video tatu kwa mwezi mmoja ukiwa msanii mkubwa kama diamond! unakimbia kwenda wapi, unamwogopa nani, hujiamini au hili ni tatizo kwa diamond.
Mimi nadhani huu ni wakati wake wakusikiliza ushauri kutoka kwa watu asirudie makosa kama, single ya Fire bongo la single wakati naitafakari na kuenjoy single hiyo mara nikaona tena video ya I miss you ghafla nikaona Eneka yaani yote hayo.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Labda hajiamini tena kapagawa..!!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Anazitafuta izo deal cyo kwamba wanamfata

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Kazitafute nawewe ukipata nitag

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Wakati ni ukuta, Hauwezi kushindana na muda,ni wakati wa kukabidhi kijiti kwa madogo wengine .
 
Kila zama na kitabu chake mda wake ukifika wa kuchuja atachuja tu, kama bado ni bado tu

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
Arudi kwa wagenga - mwenda tezi na omo marejeo ngamani
 
Kwendraaaa.....kaishauri familia yako isije kufa kwa umasikini....ikaja tolewa mifano ya wahenga.....Mwache mond afanye yake hata akitolewa methali yake ya kihenga itakuwa mchumia juani...hatimae analia kivulini....
 
Naona kama washauri wamezidi sana nashauri jamii forum waanzishe jukwaa maalumu la kila mwenye duku duku kuhusu diamond liwe linapostiwa apo, inataka kuwa too much sasa utahisi bongo msanii ni mmoja tu.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
KWA LEVEL ZA DIAMOND ANASTAHILI KUWA NA UZI WAKE MAALUMU HUMU NDANI

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Aliyemshauri biashara ya karanga sijui ni kilaza gani. Mwngine akamshauri biashara ya pafyum tena jina bayaa eti chibu pafyum why not platnumz pafyum , zaid ya hapo pafyum inauzwa laki moja, whaat! Wakat mashabiki wake wengi tunaish Tandale sasa hiyo pafyum ya laki moja tunainuaje. Simuonbei vibaya lakin biashara zote hz 2 zitafeli kama kifo cha sasa tel.
 
Kwani yumo humu?
Hayo mambo wachieni shilawadu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Aliyemshauri alisoma UDSM

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Aliyemshauri biashara ya karanga sijui ni kilaza gani. Mwngine akamshauri biashara ya pafyum tena jina bayaa eti chibu pafyum why not platnumz pafyum , zaid ya hapo pafyum inauzwa laki moja, whaat! Wakat mashabiki wake wengi tunaish Tandale sasa hiyo pafyum ya laki moja tunainuaje. Simuonbei vibaya lakin biashara zote hz 2 zitafeli kama kifo cha sasa tel.
Hoja yako ya msingi ni ipi pafyumu bei ya juu umelalamika, kawaletea karanga bei chee na penyewe unalalamika so tukuweke kundi gani

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hoja yako ya msingi ni ipi pafyumu bei ya juu umelalamika, kawaletea karanga bei chee na penyewe unalalamika so tukuweke kundi gani

Post sent using JamiiForums mobile app
Wabongo bana sio wa spoti spoti [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom