Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Umeona ee wana mambo mengi ya msingi wanaacha kuyafatilia wamebaki kupiga ramli zisizokua na faida.

Mama Samia kawaweza kweli kabana kila kona wamekosa zile siri zilizokua zinawapa kiki
Na mwishowe 2025 hii hapa wanagongwa tena wanarudi kuwachukia kina Mondi
 
Ikiwa kwa upande wao utawaona wanakuimbia wimbo wa uzalendo ikiwa upande mwingine wanakuombea anguko au kifo kabisa ili wafurahi na kumtukuza Lema kwa utabiri soon wataanza kumuabudu Lema kuwa ni nabii
Hii ni hatari kabisa! Kweli tumefika hapo kuharibiana watanzania!!!!!! Siamini to hell with chadema people if this is the case Erythrocyte jamani are you people that much haters, kwa Mtanzania mwenzenu? Siamini
 
Ukishirikiana na Shetani utatengwa na jamii , jifunzeni , kila siku tutawafundisha mpaka lini ?
 
Anahitaji support kutoka kwa wakina nani?
Ukisikia uchawi ndio huu. Sijawahi kuwa fan wa huyu dogo ila this isn't fair aisee. Dogo anapambana sana sana, na anahitaji support sio huu uchawi walah!!
 
Kwani mpinzani wake naye ana sifa kama hizo

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ungefuatalia mwaka jana ilipotekea maandamo Nigeria ya polisi wa SARS kuua raia burna boy,davido,wizkido na wengine wote waliingia kitaaa nda raia kupinga

Sadala asingeweza

Hajawahi tu kutweet #bringbackromamkatoliki sababu anajua patron wao bashite alipomuweka

Akaja kutuamba eti "Bora akae kimya"

Halafu mnasema tuna roho mbaya eti tunamwonea wivu acheni ufala.

Vita inapigwa kokote battlefield au online field adui Ni adui Hana rangi
 
Shetani ni yule anayeombea anguko la binadamu mwenzie hamna tofauti na mwendazake mliyekua mkilazimisha aonekane dikteta. Nyie ndo mna udikteta mbaya sana
Si mnasema Watanzania wote ni ccm , sasa mnashindwaje kujipigania na kumpigania mwenzenu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…