Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Hao wanaijeria ushawahi waona wakipigania boko haramu ikomeshwe?kuna mauaji mabaya zaidi kuliko ya boko haramu huko? haya saiv wamefungiwa twitter je wameanzisha kampeni gani.

Kumbuka davido baba yake ni mfuasi mkubwa wa upinzani na ba mkubwa wake ni mbunge wa upinzani na pesa ipo tangu anazaliwa hivyo ana jeuri kuliko sadala aliyekulia kwenye umaskin
 
sisi hatujawahi kuleta matatizo , sisi ni nani hata tuweze kumshinda kada wa ccm aliyevishwa kofia na Magufuli ?
Kwa mtaji huu nyote ni wapuuzi tu. Huwezi kupendwa na kila mtu kama sukari au kuchukiwa na kila mtu kama mavi! Usisahau siku hizi pamoja na sukari kupendwa na kila mtu lakini wenye kisukari wanakatazwa na wapuuzi wenzenu wananyonya tigo
 
Afu eti chandimu tuwape nchi, hahahahahaha! Chadema wataendelea kushinda njaa si uchaguzi!
 
Ukisoma haya maelezo/malalamiko unaona kabisa kuna maelezo ya bw Lissu.
Mzee najua ukiazimia Jambo lako lazima liwe,uko juu mawinguni[emoji3575]
 
Kwa hiyo UN ilimuwekea vikwazo sababu mlipeleka petishen
Mungu ameshampa Vikwazo 1.vya kuto kuendelea kuenjoy life katika dunia hii 2. Vijana wake kama huyu Sadala,Sabaya ....na wengine kutoishi maisha ya amani katika siku zao zilizobaki hapa Chini ya jua!! Damu za watu zilizomwaga Zinalia kisasi mbele ya Mungu wao



 
Usifosi watu wawe upande wako, mond hashuki.
Yaani HATERS ndio motive yake ya kupiga kazi zaidi...
Anahitaji fans ili afanikiwe ila HATERS ili afanikiwe zaidi.
Kama mambo upande wake ndio hivyo, why tena muwaone wabaya watu wanaompinga wakati wana nafasi ya kumfanikisha afikie malengo?

Halafu naye kama analijua hilo basi angezidisha kwa kua na idadi wengi ya haters ili afike mbali zaidi ya hapo
 
Ukisoma haya maelezo/malalamiko unaona kabisa kuna maelezo ya bw Lissu.
Mzee najua ukiazimia Jambo lako lazima liwe,uko juu mawinguni[emoji3575]
The Price We have paid! and Still More Unquenchable fire is coming



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…