Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Namba mbili ndiyo yenyewe haswa
 
Nlikua nataka ni sign hiyo petition lakin moyo wangu ukakataa kwasababu sihitaji kufata mkumbo na sina maslahi na chama chochote japo Mimi siyo shabik wa diamond lakin pia sina sababu ya kumchukia kufikia kiasi hicho.
Twitter imeakua ya ajabu sana kuna watu wamekua kama ng'ombe kule wameshikiwa akili na mtu mmoja amekua kama wanamuabudu
 
Yaani Chadema mmetoka kupambana na serikali mpaka mnapambana na Diamond..Shame on you!!!
 
Mnajidhalilisha nyinyi tu kushindana na vitoto vidogo,mwisho wa siku mnabaki uchi tu.

Siasa ishawashinda huko mpo mpo tu Kigogo/Chadema wakiongozwa na makamu mwenyekiti anayewawakilisha.

Vimetukanwa havina hamu
 
A
isee ndo maana yake nini!?Nacho ni kigezo!!!!
 
Naona kuna watu mnawashwa sana kuihusisha chadema na hili la diamond linaloendelea.Hii inaonyesha ni jinsi gani mnaujinga mwingi mwilini.mnadai chadema ndo wamendaa huo mpango alafu kura hadi sasa ni zaidi ya elfu 10 uku mnasemaga chadema imekufa mara ni saccos mara chama cha wachaga sasa tuwaeleweje kama sio ujinga.
 
Hongera sana naseeb. Nimeangalia historia yako unastahili pongezi. Wakati unabishana na msanii mwenzio kuhsu jina la wasafi na jina sharobaro hata Tundu Lisu hakuwaza kuwa kuna siku atatweet jina lako iwe kwa mazuri au kwa mabaya achilia mbali wanaharakati kusign petition ya jina lako. Vijana kuna la kujifunza. NASEEB KWA ALIPOFIKA HANA CHA KUPOTEZA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…