Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Akome kujiingiza Kwenye siasa za majitaka.
Unamaanisha wanamuziki wote walikuwa wame side sisiem lazima mule nao la sivyo waje upinzani? Au wengi walitoka wakakemea uonezi uliokuwa unafanyika?

Jueni kila mchuma janga hula na wa kwao. Hiki chama kikikamata dola ni zaidi ya awamu ya 5 . Yaani ni cha kuwa makini nacho
 
Punguza hasira utakabwa na majini usiku eti
Kama una maslahi au mapenzi kwa diamond usidhani wote ni hivyo
Kuna watakaomchukia hata kama hawana sababu na hayo ndo maisha yalivyo
Why force otherwise?
Tulia bwana
Ndio tabia ya watu masikini hiyo.

Kuchukia watu matajiri bila sababu
 
Huo ni wivu wao tu.

Kwenye hili wana gain kitu sasa?
 
Alijitoa katibu sembuse wewe guluguju usiefahamika? Who cares?
Wasiofahamika ndio walisababisha Lisu aende ubelgiji bila viatu maana hakuamini kma atapata kura chini ya 20%
 
Huwezi kutaka support upewe wewe tu......wakati wakina Ben Saanane na Azory Gwanda wanatekwa.....unashindwa hata kutoka kuwapa pole wazazi wake
SASA wewe πŸ˜‚ πŸ˜‚ ngoja nikucheke Kwanza .......ulizani akiwapa pole ndio watarudi au?? Acha upumbavu mwepesi mwepesi unaongea pumba na mashudu kabisa au Kwa sababu jamii forum hakuna video kamera ......kutekwa Kwa azzor au Ben saanane diamond anahusikaje hapo ?? Kwamba walikuwa wabeba spika au mafundi mitambo wake au mameneja wake au chawa wake??....nakuuliza mjinga WA akili unatumia siasa kumuhusisha diamond platnumz kisa alitumika kama mshereheshaji kwenye kampeni za ccm na akachukua pesa yake kuisaidia jamii yake na yeye mwenyewe Kosa lake liko wapi hapo au sababu CCM walishinda kweliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.......yaani Mimi ndio ningekuwa diamond platnumz mngejuta manina zenu....ningegombea ubunge kabisa ili mkione tena Kwa tiketi ya CCM
 
Bahati nzuri system haiwezi kuruhusu chama kama hichi kikamate dola labda kizazi hiki cha kina Lisu kitoweke
 
Sina hakika lakini inaweza kuathiri!
(Tazama R Kelly na TUHUMA za ngono au Michael Jackson)
Sometimes mitandao ina cost personal life
Hizi ni issue tofauti kabisa na hii myazungumzia. Katika hiki diamond hajahusika moja kwa moja, na ni haki yake kama binadamu kuchagua upande anaoutaka yeye.Yani leo hii umuhumu mond kwa ku side na CCM, kwahiyo akihamia CDM na wengine waanze kulalamika?

Yani kimsingi diamond hana makosa yoyote yanayoweza kuthibitika kisheria popote pale.
 
 
Yaani mtu akitekwa mfano roma alivyotekwa wewe unaona hicho kitu ni positive?
π™Ώπš˜πšœπš’πšπš’πšŸπšŽ πšœπš’πš˜ πš”πš πšŠπš—πšπšž πš’πš•πšŠ πš”πš πšŠ πš πšŠπšπšŽπš”πšŠπš“πš’ πš πšŠπš•πš’πš”πšžπš πšŠ πš™πš˜πšœπš’πšπš’πšŸπšŽ.

π™·πš’πšŸπš’ πš—πšπš˜ πš–πš–πšŽπš“πšžπšŠ 2020 πš”πšžπš πšŠ πš—πš’ 𝙲𝙲𝙼? πšƒπš˜πš”πšŠ 2010 π™Όπš˜πš—πš πš—πš’ 𝙲𝙲𝙼 πš—πšŠ πšŠπš•πš’πšœπš‘πš’πš›πš’πš”πš’ πš”πšŠπš–πš™πšŽπš—πš’ πš”πš’πš™πš’πš—πšπš’ πš‘πš’πšŒπš‘πš˜ πš–πšŠπšžπš“πš’ 𝚒𝚊 π™³πšŠπšžπšπš’ π™Όπš πšŠπš—πšπš˜πšœπš’ πš’πšŠπš—πšŠπšπš˜πš”πšŽπšŠ π™Όπš˜πš—πš πš’πšžπš”πš˜ 𝙲𝙲𝙼 πš—πšŠ πš πšŠπš•πšŠ πš‘πšŠπš–πš”πšžπš˜πš—πšŠ πš”πšŠπš–πšŠ πš‘πšŠπš”πš’ πšŽπšπš’ πš•πšŽπš˜ πšπ™Ύπ™Όπ™° πšœπš’πš“πšžπš’ πš”πšŠπšπšŽπš”πš πšŠ πš—πšπš’πš’πš˜ πš–πš—πšŠπš˜πš—πšŠ 𝚎 πšŠπš—πšŠ πš‘πšŠπš”πš’..!!
 

jamaa mbele ya machonyetu tunamuona akitoka chini na kupanda juu na kuwa jabali la sasa, wanatokeza maskini wenye roho za kichawi na kutaka arudi alikotoka, nyambaff, mtashindwa nyie wachawi. Jamaa hazuiliki, Mungu kamfungulia mageti yote ya neema!
 
Ni bora mara kumi angekaa kimya kuliko kujipendekeza kwa watesi kwa kuwatungia nyimbo za kuwasifia huku akijua hawatendi haki! By the way sisi hatukaa kimya tulilaani humu jamvini japo kwa kutumia id fake.
 
Kila mtu ana uhuru wake wa kuchagua, wanamlazimisha jamaa awe upande wao. Wengine woote hawajawaona na walipiga makampeni tena mikoa yote ila wakaona kwa Diamond ndo pana uzito.

They just prove how big he is.

Tena wanapiga kampeni akose BET, si wampeleke The Hague?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…