Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Akome kujiingiza Kwenye siasa za majitaka.
Unamaanisha wanamuziki wote walikuwa wame side sisiem lazima mule nao la sivyo waje upinzani? Au wengi walitoka wakakemea uonezi uliokuwa unafanyika?

Jueni kila mchuma janga hula na wa kwao. Hiki chama kikikamata dola ni zaidi ya awamu ya 5 . Yaani ni cha kuwa makini nacho
 
Punguza hasira utakabwa na majini usiku eti
Kama una maslahi au mapenzi kwa diamond usidhani wote ni hivyo
Kuna watakaomchukia hata kama hawana sababu na hayo ndo maisha yalivyo
Why force otherwise?
Tulia bwana
Ndio tabia ya watu masikini hiyo.

Kuchukia watu matajiri bila sababu
 
Nashindwa kujibu ndio au hapana maana sina taarifa za uhakika..

Hata hivyo Mkuu kupanga ni kuchagua na kila mtu ana uhuru wa kuchagua namna anapendelea kuishi.

Kama Diamond alivyotumia uhuru wake kupanga kukaa kimya ndivyo wakulungwa walivyoamua kutumia uhuru wao kumsagia kunguni.

Mimi nimechagua kutumia uhuru wangu kuheshimu maamuzi ya pande zote 2.
Huo ni wivu wao tu.

Kwenye hili wana gain kitu sasa?
 
Alijitoa katibu sembuse wewe guluguju usiefahamika? Who cares?
Wasiofahamika ndio walisababisha Lisu aende ubelgiji bila viatu maana hakuamini kma atapata kura chini ya 20%
 
Huwezi kutaka support upewe wewe tu......wakati wakina Ben Saanane na Azory Gwanda wanatekwa.....unashindwa hata kutoka kuwapa pole wazazi wake
SASA wewe 😂 😂 ngoja nikucheke Kwanza .......ulizani akiwapa pole ndio watarudi au?? Acha upumbavu mwepesi mwepesi unaongea pumba na mashudu kabisa au Kwa sababu jamii forum hakuna video kamera ......kutekwa Kwa azzor au Ben saanane diamond anahusikaje hapo ?? Kwamba walikuwa wabeba spika au mafundi mitambo wake au mameneja wake au chawa wake??....nakuuliza mjinga WA akili unatumia siasa kumuhusisha diamond platnumz kisa alitumika kama mshereheshaji kwenye kampeni za ccm na akachukua pesa yake kuisaidia jamii yake na yeye mwenyewe Kosa lake liko wapi hapo au sababu CCM walishinda kweli😂😂😂.......yaani Mimi ndio ningekuwa diamond platnumz mngejuta manina zenu....ningegombea ubunge kabisa ili mkione tena Kwa tiketi ya CCM
 
Unamaanisha wanamuziki wote walikuwa wame side sisiem lazima mule nao la sivyo waje upinzani? Au wengi walitoka wakakemea uonezi uliokuwa unafanyika?

Jueni kila mchuma janga hula na wa kwao. Hiki chama kikikamata dola ni zaidi ya awamu ya 5 . Yaani ni cha kuwa makini nacho
Bahati nzuri system haiwezi kuruhusu chama kama hichi kikamate dola labda kizazi hiki cha kina Lisu kitoweke
 
Sina hakika lakini inaweza kuathiri!
(Tazama R Kelly na TUHUMA za ngono au Michael Jackson)
Sometimes mitandao ina cost personal life
Hizi ni issue tofauti kabisa na hii myazungumzia. Katika hiki diamond hajahusika moja kwa moja, na ni haki yake kama binadamu kuchagua upande anaoutaka yeye.Yani leo hii umuhumu mond kwa ku side na CCM, kwahiyo akihamia CDM na wengine waanze kulalamika?

Yani kimsingi diamond hana makosa yoyote yanayoweza kuthibitika kisheria popote pale.
 
Hesabu zishafungwa[emoji119][emoji119][emoji119]
IMG-20210606-WA0190.jpg
 
Hizi ni issue tofauti kabisa na hii myazungumzia. Katika hiki diamond hajahusika moja kwa moja, na ni haki yake kama binadamu kuchagua upande anaoutaka yeye.Yani leo hii umuhumu mond kwa ku side na CCM, kwahiyo akihamia CDM na wengine waanze kulalamika?

Yani kimsingi diamond hana makosa yoyote yanayoweza kuthibitika kisheria popote pale.
 
Yaani mtu akitekwa mfano roma alivyotekwa wewe unaona hicho kitu ni positive?
𝙿𝚘𝚜𝚒𝚝𝚒𝚟𝚎 𝚜𝚒𝚘 𝚔𝚠𝚊𝚗𝚐𝚞 𝚒𝚕𝚊 𝚔𝚠𝚊 𝚠𝚊𝚝𝚎𝚔𝚊𝚓𝚒 𝚠𝚊𝚕𝚒𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚙𝚘𝚜𝚒𝚝𝚒𝚟𝚎.

𝙷𝚒𝚟𝚒 𝚗𝚍𝚘 𝚖𝚖𝚎𝚓𝚞𝚊 2020 𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚗𝚒 𝙲𝙲𝙼? 𝚃𝚘𝚔𝚊 2010 𝙼𝚘𝚗𝚍 𝚗𝚒 𝙲𝙲𝙼 𝚗𝚊 𝚊𝚕𝚒𝚜𝚑𝚒𝚛𝚒𝚔𝚒 𝚔𝚊𝚖𝚙𝚎𝚗𝚒 𝚔𝚒𝚙𝚒𝚗𝚍𝚒 𝚑𝚒𝚌𝚑𝚘 𝚖𝚊𝚞𝚓𝚒 𝚢𝚊 𝙳𝚊𝚞𝚍𝚒 𝙼𝚠𝚊𝚗𝚐𝚘𝚜𝚒 𝚢𝚊𝚗𝚊𝚝𝚘𝚔𝚎𝚊 𝙼𝚘𝚗𝚍 𝚢𝚞𝚔𝚘 𝙲𝙲𝙼 𝚗𝚊 𝚠𝚊𝚕𝚊 𝚑𝚊𝚖𝚔𝚞𝚘𝚗𝚊 𝚔𝚊𝚖𝚊 𝚑𝚊𝚔𝚒 𝚎𝚝𝚒 𝚕𝚎𝚘 𝚁𝙾𝙼𝙰 𝚜𝚒𝚓𝚞𝚒 𝚔𝚊𝚝𝚎𝚔𝚠𝚊 𝚗𝚍𝚒𝚢𝚘 𝚖𝚗𝚊𝚘𝚗𝚊 𝚎 𝚊𝚗𝚊 𝚑𝚊𝚔𝚒..!!
 
84A96F0F-CC46-43E7-ACA0-24D6F9F00CB9.jpeg

jamaa mbele ya machonyetu tunamuona akitoka chini na kupanda juu na kuwa jabali la sasa, wanatokeza maskini wenye roho za kichawi na kutaka arudi alikotoka, nyambaff, mtashindwa nyie wachawi. Jamaa hazuiliki, Mungu kamfungulia mageti yote ya neema!
 
Ikiwa nyinyi mliogopa na hamkuwa tayari kujitokeza hata pale ambapo viongozi wenu waliwataka, diamond ni nani hata ajitokeze ikiwa alikuwa na vitu vingi vya kupoteza? Waliojitokeza kisha wakashikwa na serikali,mmewaenzi vipi?

Kufanikiwa kwa Mond hakuhusiani kabisa na swala la support ya wanaharakati njaa, ndiomaana pamoja na kumsagia kunguni dogo Mond bado hamuwezi kumfanya ROMA ashinde hiyo tuzo.
Ni bora mara kumi angekaa kimya kuliko kujipendekeza kwa watesi kwa kuwatungia nyimbo za kuwasifia huku akijua hawatendi haki! By the way sisi hatukaa kimya tulilaani humu jamvini japo kwa kutumia id fake.
 
Hizi ni issue tofauti kabisa na hii myazungumzia. Katika hiki diamond hajahusika moja kwa moja, na ni haki yake kama binadamu kuchagua upande anaoutaka yeye.Yani leo hii umuhumu mond kwa ku side na CCM, kwahiyo akihamia CDM na wengine waanze kulalamika?

Yani kimsingi diamond hana makosa yoyote yanayoweza kuthibitika kisheria popote pale.
Kila mtu ana uhuru wake wa kuchagua, wanamlazimisha jamaa awe upande wao. Wengine woote hawajawaona na walipiga makampeni tena mikoa yote ila wakaona kwa Diamond ndo pana uzito.

They just prove how big he is.

Tena wanapiga kampeni akose BET, si wampeleke The Hague?
 
Back
Top Bottom