Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Kila mtu anapambana..

Kutumia u star wako kuinfluence mambo negative kwenye jamii sio jambo zuri..its about time wasanii na celebs wote wajue hili.
Sipendi mtu aharibikiwe, Lakini mwaka Jana nililisema sana jinsi wasanii wa Tanzania wanavyotumika vibaya kisiasa iwe A au B. Panda jukwaani nadi Sera za unayemshabikia lakini kugeuka mwanasiasa na kukashifu upande mwingine ilikuwa lazima iwagharimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…