Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Hii tuzo Mondi haipati.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi natamani sana aipateHii tuzo Mondi haipati.
Mimi sijali kama atapata au la ila kwa hiyo petition ilivyoandikwa sidhani kama hao wamarekani watamwacha kuendelea kuwa nominee wa kugombea hiyo tuzo.Mimi nataman sana aipate
Diamond kajipandisha na atakaa hapo...Kitu ambacho Mr Plutinumz hakukijua kwamba ukiwa music super star unakua public property by default
waliokupandisha wanaweza kukushusha wakiamua
The hard headed never learns
Huwezi kutaka support upewe wewe tu......wakati wakina Ben Saanane na Azory Gwanda wanatekwa.....unashindwa hata kutoka kuwapa pole wazazi wakeUkisikia uchawi ndio huu. Sijawahi kuwa fan wa huyu dogo ila this isn't fair aisee. Dogo anapambana sana sana, na anahitaji support sio huu uchawi walah!!
Mkishampa hio sapoti akishinda anakuja kuwanyeaUkisikia uchawi ndio huu. Sijawahi kuwa fan wa huyu dogo ila this isn't fair aisee. Dogo anapambana sana sana, na anahitaji support sio huu uchawi walah!!
Uchawi tu kwakweli, kwanini kulazimishana kuamini unachoamini? Hizi siasa mavi mavi sijui zinatupeleka wapi!!!Hata mm sijapenda jamani..hapana aisee lets be positive kwa huyu dogo..khaaa.! Too much
Ukipambana halafu ukaheshimu hustle za wenzio utapata baraka. Dogo shida dharau kwa wenzieUkisikia uchawi ndio huu. Sijawahi kuwa fan wa huyu dogo ila this isn't fair aisee. Dogo anapambana sana sana, na anahitaji support sio huu uchawi walah!!
Kumkoa ni wampigr ban youtube, huko ndiko anakopata fedha! Kumzuia haya matuzo sio ishu kwa mondi..Mimi sijali kama atapata au la ila kwa hiyo petition ilivyoandikwa sidhani kama hao wamarekani watamwacha kuendelea kuwa nominee wa kugombea hiyo tuzo.
Hatuwezi kuwa positive kwake as long as anatunyea akishapata mafanikioHata mm sijapenda jamani..hapana aisee lets be positive kwa huyu dogo..khaaa.! Too much
Shida ndio inaanziaga hapaMkishampa hio sapoti akishinda anakuja kuwanyea
Hata mimi, yaani nitafurahi mno akiipata maana nguvu inayotumika kumkandamiza ni kubwa mno sijui wanafaidika na nini?Mimi nataman sana aipate
Sipendi mtu aharibikiwe, Lakini mwaka Jana nililisema sana jinsi wasanii wa Tanzania wanavyotumika vibaya kisiasa iwe A au B. Panda jukwaani nadi Sera za unayemshabikia lakini kugeuka mwanasiasa na kukashifu upande mwingine ilikuwa lazima iwagharimu.Kila mtu anapambana..
Kutumia u star wako kuinfluence mambo negative kwenye jamii sio jambo zuri..its about time wasanii na celebs wote wajue hili.
Kigogo siyo binadamu aisee.🤣🤣🤣bwana champ na sabuni zake saizi ni kulia tu na kutoa laana kwa kigogo
Na hii ndio suluhu pekee!mchezo ulivyoanza nilihisi hao jamaa wanajitekenya na kucheka wenyewe
hii issue imekuwa noma zaidi, mond akubali na aombe radhi jamii