Wanakula kodi za watanzania bure na watanzania wamekaa tu wanakenua.Wanaacha kuhangaika na akina halima mdee huko wanakula hela za posho za bure.Wanahangaika na diamond ambae anajitafutia kivyake.Wajue hawawez kuja kulingana nae.Huo ni wivu wa kike.
Ila baada ya ili kupita, Diamond atakuwa na lakujifunza labda, japo kweli haileti picha nzuri.Hata mimi sijapenda jamani.. hapana aisee lets be positive kwa huyu dogo..khaaa.! Too much
Lakini mzee mwenzang sidhan kama wote tunapaswa kuwa wanaharakati..nadhan diamond ni kati ya wale watu waoga...hata utokee mgomo yeye anajificha hatak kuparticipate .wawaache wenye guts zao.Ila baada ya ili kupita, Diamond atakuwa na lakujifunza labda, japo kweli haileti picha nzuri.
Hili jambo lipo kishabiki sana mkuu.Lakini mzee mwenzang sidhan kama wote tunapaswa kuwa wanaharakati..nadhan diamond ni kati ya wale watu waoga...hata utokee mgomo yeye anajificha hatak kuparticipate .wawaache wenye guts zao
Mfano mimi hata nione kwa Tv maandamano ya migomo wa aina yyt ile huwa nashiriki kwa nafsi aise!
Wengine hawawezi...tusimhukumu sana...mbona wasanii kibao enzi za mwendazakenwalifyataga mikia? Sio wasanii tu...kina HK,MADELU etc ndo walianza kuongea alipotwaliwa Jozee! Kwann na wenyewe wasingepaza sauti? Its not fair at all aise!totally wrong!
Labda mseme hivyo lakini sio kuwasingizia ChademaHili jambo lipo kishabiki sana mkuu.
No binafsi naamini chadema hawausiki.Labda mseme hivyo lakini sio kuwasingizia Chadema
Nikweli kabisaLakini mzee mwenzang sidhan kama wote tunapaswa kuwa wanaharakati..nadhan diamond ni kati ya wale watu waoga...hata utokee mgomo yeye anajificha hatak kuparticipate .wawaache wenye guts zao
Mfano mimi hata nione kwa Tv maandamano ya migomo wa aina yyt ile huwa nashiriki kwa nafsi aise!
Wengine hawawezi...tusimhukumu sana...mbona wasanii kibao enzi za mwendazakenwalifyataga mikia? Sio wasanii tu...kina HK,MADELU etc ndo walianza kuongea alipotwaliwa Jozee! Kwann na wenyewe wasingepaza sauti? Its not fair at all aise!totally wrong!
Mbona amemuajiri lokole na anawakingoli kisawaswa!Niliwadharau sana sana eti Daimond anawatendei haki mashoga wa Tanzania.......
Hiv unajua maana ya shoga?Mbona amemuajiri lokole na anawakingoli kisawaswa!
Yeah, kama weweHiv unajua maana ya shoga?
Ngojea nikupe elimu japo umenitukana kuna tofauti Kati kuwa na tabia ya kike na kuwa shoga, shoga anaweza kuwa na tabia ya kike lakini si kila anakuwa na tabia ya kike ni shoga.Shoga maana yake ni mwanaume anaye shiriki sex na jinsia ya kiumeYeah, kama wewe
Sijakutukana ila nimekupa mfano wake kama ulivyodefine hapo juu. Hivi kosa langu ni nini?Ngojea nikupe elimu japo umenitukana kuna tofauti Kati kuwa na tabia ya kike na kuwa shoga, shoga anaweza kuwa na tabia ya kike lakini si kila anakuwa na tabia ya kike ni shoga.Shoga maana yake ni mwanaume anaye shiriki sex na jinsia ya kiume
Kumwita mwenzake shoga bila ushahidi eti kisa tu anatabia ya kike ndio maana nimekufafanulia hapo juuSijakutukana ila nimekupa mfano wake kama ulivyodefine hapo juu. Hivi kosa langu ni nini?
Faida yako wewe ni ipi?Nimejaribu kuangalia faida na hasara kwa Dimond kwenye jamii ya watanzania nikakuta hasara ni kubwa mno kuliko faida.
Utajuaje kama nishamlambaKumwita mwenzake shoga bila ushahidi eti kisa tu anatabia ya kike ndio maana nimekufafanulia hapo juu