Diamond Platinumz kuzindua marashi yake ya Chibu

"Hata mimi na marashi yangu toka zamani ila cpendi kiki na kujitangaza" Ali Kiba
Ivi we jamaa huna uruma na mbavu zangu usiku huu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji22] [emoji23] [emoji22]
 
Kweli tunaishi hivi jirani hutaki ninunue tv,
wakati watu wa angaza wanatangaza mambo ya H.I.V kwenye tv - Juma nature - Ubinadam kazi
 
Wanao semaga ntakupa dunia yote je?

Weeee vipiii.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kivipi
 
Wabongo dah mtu akifanikiwa freemason....Hivi huyu Mola wetu kwani yy hawezi kubariki watu wakawa matajiri???? Usikariri maisha coz hata Mungu naye anabariki
 
Bora amekigundua kipaji chake halisi, hzo ndo shughuli zake muziki alivamia ili apate mtaji, sasa awaachie wenye muziki wao waendelee kutuburudisha.....
Mna hamu aache muziki ili mjitanue eenhe! Kumbe kawabana hivyo, teh. Chibu kaza hivyo hivyo hadi waombe poo.
Btw mtu asiyekuwa na kipaji anaweza kuvamia fani halafu akaweka records ambazo hazijawahi kuwekwa Tz. Kumbe miujiza ipo ennhe, ngoja nami nianze kuamini kwenye miujiza teh teh.
 
Tatizo lako unafananisha kifo na usingizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…