Diamond unafanya mziki biashara afanyi mziki kusifiwa au kufurahisha watu ndo maana matamasha yake yanamlipa mkwanja mrefu ata wakikutana na anaesifiwa kwa kuimba vizur lkn domo anakulaga mkwanja mrefu na kutokujua kwakeKama Michael Jackson,Bob Marley,Tupac na legends wengine wa muziki walikuwa na Perfume zao basi hao uliowataja ukijumlisha na Diamond sio wapiga kelele.
alafu next time tunapozungumzia Wanamuziki usitutajie wafanyabiasha eboooo
C babu yako umemsahau tenaChibu ndio nini?
we mbunyee kelli, diamond ni habari nyinginehuyu biashara ndio kipaji chake huku kwenye muziki alikuwa anatupigia kelele tu kwa kulazimisha fani.
Wewe ni Mwanamke au Mwanaume?we mbunyee kelli, diamond ni habari nyingine
Hapo ndipo ilipo tofauti ya mfanyabiashara na Mwanamuziki.Diamond unafanya mziki biashara afanyi mziki kusifiwa au kufurahisha watu ndo maana matamasha yake yanamlipa mkwanja mrefu ata wakikutana na anaesifiwa kwa kuimba vizur lkn domo anakulaga mkwanja mrefu na kutokujua kwake
buku tatuIsipofika LAKI MBILI kwa chupa moja ni lazima nijipatie ya kwangu!!
We kwel uneducatedHapo ndipo ilipo tofauti ya mfanyabiashara na Mwanamuziki.
Nyie mnampenda mfanyabiashara sisi tunampenda mwanamuziki hatuwezi kufanana akili na mawazo.
Tena mumshauri kabisa ili biashara zake ziende vzuri aache na kupiga kelele majukwaani awe anakaa mwenyewe dukani kwake ili apige hela zaidi kupitia biashara zake maana iko ndio kipaji chake huku kwenye muziki alikuwa anatafuta mtaji tu.
Kwa kukusaidia zaidi mfanyabiashara Ronaldo analipwa mshahara mkubwa kuliko Messi na ni tajiri kuliko Messi lakini dunia nzima inajua Messi ni mkali kuliko Ronaldo.
Povu linavokutokaHapo ndipo ilipo tofauti ya mfanyabiashara na Mwanamuziki.
Nyie mnampenda mfanyabiashara sisi tunampenda mwanamuziki hatuwezi kufanana akili na mawazo.
Tena mumshauri kabisa ili biashara zake ziende vzuri aache na kupiga kelele majukwaani awe anakaa mwenyewe dukani kwake ili apige hela zaidi kupitia biashara zake maana iko ndio kipaji chake huku kwenye muziki alikuwa anatafuta mtaji tu.
Kwa kukusaidia zaidi mfanyabiashara Ronaldo analipwa mshahara mkubwa kuliko Messi na ni tajiri kuliko Messi lakini dunia nzima inajua Messi ni mkali kuliko Ronaldo.
Mimi na wewe tushamaliza zaidi kacheze unapochezaga.Povu linavokutoka
Sasa Educated atakuwa nani Wewe au baba ako Diamond?!We kwel uneducated
Ndo aka nyengine ya msanii maarufu zaidi Afrika mashariki mwenye asili ya Tanzania hasa mkoa wa Kigoma na Dar es salaam,mtaa wa Tandale uswahilini kbs huko! jina la Chibu linatoka na jina lake halisi NASIBU,kwa kuokoa nguvu na muda watoto wa mjini tunalishorten hilo jina kwa kumuita CHIBU...karibu kununua bidhaa mpya ya marashi yenye hilo jina ili harufu ya kwapa iende likizo kidogo...maana marashi haya yana harufu nzuri unayostahili kama ulivyo mziki wake. KARIBU SANA mdau.Chibu ndio nini?
ni mumeWewe ni Mwanamke au Mwanaume?