Diamond Platinumz kuzindua marashi yake ya Chibu

Kama Michael Jackson,Bob Marley,Tupac na legends wengine wa muziki walikuwa na Perfume zao basi hao uliowataja ukijumlisha na Diamond sio wapiga kelele.

alafu next time tunapozungumzia Wanamuziki usitutajie wafanyabiasha eboooo
Diamond unafanya mziki biashara afanyi mziki kusifiwa au kufurahisha watu ndo maana matamasha yake yanamlipa mkwanja mrefu ata wakikutana na anaesifiwa kwa kuimba vizur lkn domo anakulaga mkwanja mrefu na kutokujua kwake
 
Hapo ndipo ilipo tofauti ya mfanyabiashara na Mwanamuziki.

Nyie mnampenda mfanyabiashara sisi tunampenda mwanamuziki hatuwezi kufanana akili na mawazo.

Tena mumshauri kabisa ili biashara zake ziende vzuri aache na kupiga kelele majukwaani awe anakaa mwenyewe dukani kwake ili apige hela zaidi kupitia biashara zake maana iko ndio kipaji chake huku kwenye muziki alikuwa anatafuta mtaji tu.

Kwa kukusaidia zaidi mfanyabiashara Ronaldo analipwa mshahara mkubwa kuliko Messi na ni tajiri kuliko Messi lakini dunia nzima inajua Messi ni mkali kuliko Ronaldo.
 
Isipofika LAKI MBILI kwa chupa moja ni lazima nijipatie ya kwangu!!
 
Hapo ndipo ilipo tofauti ya mfanyabiashara na Mwanamuziki.

Nyie mnampenda mfanyabiashara sisi tunampenda mwanamuziki hatuwezi kufanana akili na mawazo.

Tena mumshauri kabisa ili biashara zake ziende vzuri aache na kupiga kelele majukwaani awe anakaa mwenyewe dukani kwake ili apige hela zaidi kupitia biashara zake maana iko ndio kipaji chake huku kwenye muziki alikuwa anatafuta mtaji tu.

Kwa kukusaidia zaidi mfanyabiashara Ronaldo analipwa mshahara mkubwa kuliko Messi na ni tajiri kuliko Messi lakini dunia nzima inajua Messi ni mkali kuliko Ronaldo.
We kwel uneducated
 
Povu linavokutoka
 
Chibu ndio nini?
Ndo aka nyengine ya msanii maarufu zaidi Afrika mashariki mwenye asili ya Tanzania hasa mkoa wa Kigoma na Dar es salaam,mtaa wa Tandale uswahilini kbs huko! jina la Chibu linatoka na jina lake halisi NASIBU,kwa kuokoa nguvu na muda watoto wa mjini tunalishorten hilo jina kwa kumuita CHIBU...karibu kununua bidhaa mpya ya marashi yenye hilo jina ili harufu ya kwapa iende likizo kidogo...maana marashi haya yana harufu nzuri unayostahili kama ulivyo mziki wake. KARIBU SANA mdau.
 
jina baya, kwanini hakuziita hizo perfumes platnamz
 
Hongera Sana Utawapata mazwazwa kwenye huo uturi wako sie ni mwendo wa Nivea For Men 48hrs protection.
 
Back
Top Bottom