Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bitch ni neno slang linalotumika kumuelezea mwanamke, kwa mwanaume angetumia walau niggaJust to be clear.
Mwanaume hawi bitch.
Lakini hiyo ishu inaonekana ni scripted sielewi kwanini wameacha hii scene ionekane
Labda amemaanisha Bichi kidimbwi..😂🤣Bitch tena?
Ametuangasha sana wasomi wa tandale, dah
YalaaaaBisexual huyo. Kingereza kilikuja kwenye meli.