Diamond Platinumz na kauli za kutatanisha katika “ reality show” ya Young, Famous and African

Diamond Platinumz na kauli za kutatanisha katika “ reality show” ya Young, Famous and African

Nilimuona mtu kama Mama Diamond nae yupo au ni macho yangu...
 
Bitch ni neno slang linalotumika kumuelezea mwanamke, kwa mwanaume angetumia walau nigga

Afu kinachokuja kuleta shida ni pale unapomuona kwenye interview akitamba kuwa hakuna msanii bongo anayemzidi unyamwezi
Mwanaume ni Playa
 
View attachment 2155876

Msikilize mwenyewe:

View attachment 2155877

Akaulizwa: How old are you?

Diamond: 31st

😎
Kafukuza wanawake wenye akili , wasomi na waliokuwa wanamfundisha kiingereza na exposure, muonekano na kujibihave kimataifa akina madam Sepetu, Zari na tanasha anaende kuchukua waimba taarabu huko mchambawima unatarajia atamfundisha kizungu?
 
😂😂😂😂😂😂aibu aiseeee

Kipindi cha Netflix sadala asingekubali maana hawezi joto la mahojiano bora angemkodi T.I.D au chid benz maana Zari anafaidika sana humo.
 
Namuonea hadi huruma
IMG_20220117_171706.jpg
 
Bitch ni neno slang linalotumika kumuelezea mwanamke, kwa mwanaume angetumia walau nigga

Afu kinachokuja kuleta shida ni pale unapomuona kwenye interview akitamba kuwa hakuna msanii bongo anayemzidi unyamwezi
Bitch ni feminine term, mwanaume ni dog na si bitch.
 
Back
Top Bottom