Diamond Platinumz na kauli za kutatanisha katika “ reality show” ya Young, Famous and African

Ina maana hawa edit kabla ya kutoa hewani?!
 
Yuko sahihi, neno hilo lina maana na matumizi tofauti.
Neno Bitch linaweza kutumika kama nomino ama kitenzi. Na hapo kwenye nomino lina maana zaidi ya nne. Na ametumia neno bitch kuimply maana mojawapo katika maongezi yake.
Neno bitch linaweza kutumika kwa mwanaume ama mwanamke kwa sababu lina maana nyingi.
Hata mtu anayecomplain sana anaweza kuitwa bitch, as s/he always complains.
Hata neno "fvck" lina maana nyingi sana lakini watu wameshakariri mtu akisema neno fvck anaimply "kufanya ngono".
 
Kwa hiyo ni sahihi na wewe tukikuita bitch? Si ndio ukweli mtupu ndugu yangu?
 
Yuko sahihi, neno hilo lina maana na matumizi tofauti.
Neno Bitch linaweza kutumika kama nomino ama kitenzi. Na hapo kwenye nomino lina maana zaidi ya nne. Na ametumia neno bitch kuimply maana mojawapo katika maongezi yake.
Neno bitch linaweza kutumika kwa mwanaume ama mwanamke kwa sababu lina maana nyingi.
Hata mtu anayecomplain sana anaweza kuitwa bitch, as s/he always complains.
Hata neno "fvck" lina maana nyingi sana lakini watu wameshakariri mtu akisema neno fvck anaimply "kufanya ngono".
Diamond kingereza alifundishwa chumbani na sio darasani so kubali kukosea kupo na hajui.kuna mtu kweli unajua shule ipo hata akitumia neno tunajua lina maana nyingi sasa huyu alisomea wapi? Kingereza alifundishwa na wema, zari, na tanasha so hicho kinatosha kabisa kuongea bila makosa?

Unajua mtu msomi ambae hajiamini kwenye lugha anatumia maneno simple ili aeleweke. Amesema 'am a player" ilikuwa inatosha mambo ya kuongeza maneno mengine wajue kaiva hayana maana.
 
Sijajua kiingereza amejifunza wapi, lakini kwa exposure aliyonayo naamini yupo fluent anajitahidi sana. Sizungumzi kama shabiki maana sina hata nyimbo yake moja maana I grew up listening to reggae, oldschool and contemporary Hip Hop.

Kwa nilivyomuelewa amejenga maana tofauti na jinsi nyinyi mlivyomuelewa. Na kiingereza ni lugha ambayo ina maneno ambayo yanakuwa na maana zaidi ya moja. Hilo neno lina maana zaidi ya moja na kwa hapo alipolitumia amejenga maana ya kuwa yeye ni difficult and unpleasant person katika mahusiano (how hard it is for women to deal with it), thats why sometimes tunasema "life is a bitch" tukiwa na maana hiyohiyo.

Lakini naona watu wamepokea tofauti, So let's agree to disagree.
 
Bitch ni neno slang linalotumika kumuelezea mwanamke, kwa mwanaume angetumia walau nigga

Afu kinachokuja kuleta shida ni pale unapomuona kwenye interview akitamba kuwa hakuna msanii bongo anayemzidi unyamwezi
Unyamwezi Ni Nini mkuu?
 
Bitch ni neno slang linalotumika kumuelezea mwanamke, kwa mwanaume angetumia walau nigga

Afu kinachokuja kuleta shida ni pale unapomuona kwenye interview akitamba kuwa hakuna msanii bongo anayemzidi unyamwezi
😂😂😂
 
Yuko sahihi, neno hilo lina maana na matumizi tofauti.
Neno Bitch linaweza kutumika kama nomino ama kitenzi. Na hapo kwenye nomino lina maana zaidi ya nne. Na ametumia neno bitch kuimply maana mojawapo katika maongezi yake.
Neno bitch linaweza kutumika kwa mwanaume ama mwanamke kwa sababu lina maana nyingi.
Hata mtu anayecomplain sana anaweza kuitwa bitch, as s/he always complains.
Hata neno "fvck" lina maana nyingi sana lakini watu wameshakariri mtu akisema neno fvck anaimply "kufanya ngono".
Hujui kiingereza. Kaa kimya.
 
Back
Top Bottom