JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Sasa Cha ajabu nini?
Kwa ufupi tu,aliwahi kufanya sherehe ya kuzaliwa ya mtoto wake akatumia 50M!
Hicho kiasi ni kiinua mgongo Cha mtumishi wa umma aliyefsnya kazi miaka 40!!!
Hamtakiwi kushangaa Mond kuchapia kizungu!shangaeni inakuwaje wahitimu wa vyuo wanaajiliwa na mtoto wa darasa la saba!!hapo ndio Kuna tatizo,msikwepe!!tafakari,Mond,rayvsn,kiba,zuchu,jux Hawa vijana wanapesa ndefu kuliko wahitimu wa vyuo vikuu wanaotafuta ajira,Richa ya kuwa na vizungu viiiiingi
View attachment 2155876
Msikilize mwenyewe:
View attachment 2155877
Akaulizwa: How old are you?
Diamond: 31st
😎
Sasa Cha ajabu nini hapo,Mond kuchapia kizungu?kwani kizungu kimemsaidia nini mpaka hapo alipofika?aliishia la saba!!lakini ameajiri akina nyie wenye mashahada yenu na vizungu vyenu kama vya mamtoni!sasa nani anafaida kwenye Dunia,nyie mnaojua kizungu lakini hamjatengeneza hata ajira ya genge,na huyu mtoto wa tandale anayetoa ajira kwa kaka na dada,baba zenu,View attachment 2155876