Diamond Platinumz na kauli za kutatanisha katika “ reality show” ya Young, Famous and African

Just to be clear.

Mwanaume hawi bitch.

Lakini hiyo ishu inaonekana ni scripted sielewi kwanini wameacha hii scene ionekane
mwanaume huitwa MITCH, huenda chibudenga ana papuchi thats why anajiita bitch...
 
Nonsense
You have zero knowledge of English
 
Kwani kendrick lamar alipoimba "BITCH BE HUMBLE" alimaanisha nini?

Wabongo wapo kwenye top ten ya nchi zilizotawaliwa na mwingeleza ambazo hazijui kuongea kiinglishi lakini watu wake ndo wataalamu wa kukosoa wenzao wanapokosea
 
Kwa sababu ni mbumbumbu wa lugha za kigeni, anafikiri kuongea kwa kuchapia Kiingereza ndiyo kujuwa kumbe hajuwi lolote.

Akamatwe haraka sana anatuhaibisha mno.
Jinga sana.....yaani hujui kama wanafanya makusudi....kuna process ndefu kabla ya wewe kima kuona video
 
Jinga sana.....yaani hujui kama wanafanya makusudi....kuna process ndefu kabla ya wewe kima kuona video
Yaani katika watu wapumbavu duniani naona wewe ni kilanja wao.....umeona wapi watu wanarekodiwa kuongea broken English ili itrend? Ebu nenda kajipige vidole kule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…