Diamond Platinumz vs Ali Kiba, nani mkali?

heshima pesa bwana dogo vipi????
 
Muziki si kipaji tu...Ally anaweza kuwa anamzidi dimondi lakini dimondi anaifaham "FITNA" inayohitajika kwenye mziki wa kibiashara... waveja sana.
 
hivi mnaomuimba kiba sasa hivi kama wimbo wa taifa???mlikuwa wapi mpaka akapotea kwenye game,oneni sasa mapovu yanavyowatoka mengi ili mumrudishe.ILA KAMA KWELI MNAJIAMINI ACHENI KUMTUMIA ALMASI. MNABEMBEA SANA MGONGONI KWAKE JAMANI EMBU SHUKENI MTEMBEE WENYEWEEEE!Aaaaangrrrrrrrrr!!!!!!!
 

Na ndicho anachokifanya Ali Kiba kuchochea ugomvi, na ukitaka kufahamu msanii aliyeheishiwa uwa anakimbilia kuanzisha ugomvi.
 

Mawazo yaliyozeeka kivipi!!!?
 
Best vocal??? Labda best vocal wa wabana pua...
Teja TID atabaki kuwa na sauti ya dhahabu hata kama inakula poda.
 

Mkuu we ni mswahili mimi ni mswahili na waswahili sisi tunajuana...Hapa kinachoendelea ni akili pure za kiswahili,yaaani sio kwamba watu wanampenda saaaaana Kiba,hell no...watu wanaona Diamond sasa kapata mtu wa kumuadhibu...Ni kama dua zao za kumfunza adabu Diamond sasa zimesikika maana silaha ya kumuangamiza imeshapatikana.......Sasa uliza kosa haswa la Diamond ni lipi mpaka wanamchukia ivyo utaambiwa "anajifanya yupo juu" "anabebwa" "hana talent"......Kwetu uswahilini awa wapo kibao,jamaa unakuta anamchukia mtu mpaka unashangaa,sasa muulize kwa nini unamchukia kiasi hicho utaskia "anajifanya anajua kuvaa",yani ndio tulivyo waswazi.

Na hichi ndio kinatokea kwa Diamond watu wanakwambia hana lolote anabebwa,so wanachotaka haswa ili roho zao zifurahi zisuuzike ni arudi chini afanane na wasanii wenzie hapo ndio atakuwa kwao wa ukweli,simpo,mtu wa watu,hana makuu nk nk.....

Kosa kubwa kwa waswahili sisi including Kiba na team yake ni Diamond "anajifanya yupo juu" so inabidi ashuke,na kwa akili zao fupi ni kwamba wakukamilisha ilo ni Kiba..
 
Nani anapiga hela zaidi? Anayepiga hela nyingi ndio mshindi. Hizi ndio zile za "peter tosh alikuwa zaidi ya Bob", "Nas ni zaidi ya JayZ".....majungu ya wakosaji tu! kama yeye ndio zaidi kipimo ni nini? idadi ya show? tuzo? kila mtu ana ubora wake. Cha msingi watokee watu waandae mpambano wote wapige hela wabongo wapate burudani.
 
Best vocal??? Labda best vocal wa wabana pua...
Teja TID atabaki kuwa na sauti ya dhahabu hata kama inakula poda.

Ndio ushangae sasa,eti leo kawa best vocalist.... wanamjua Chilla awa? wanamjua Bushoke? wanamjua Nurueli? wanamjua rama dee?...ingekuwa vocal ndio kila kitu nafasi ya Wacko jacko angekaa Prince, wajiulize kwa nini Michael alikuwa juu.....Au nafasi ya Boni Jovi angekaa mtu kama uncle Charlie Wilson....U-Star ni package !!!
 

Nafikiri kiba hana tatizo ila tatizo ni wajinga wanaomzunguuka na kumtia ujinga. Angekua mjanja angeachana nao hao na kujiuunga na huyo mswahili mjanja diamond anaweza kujifunza kitu.. kuna kikundi pale kariakoo na ilala(new jack familly) kilikua kinaongozwa na jamaa anaitwa g-lover mmiliki wa g-recods hawa jamaa hawataki kubadilika na ndio wanaompoteza kiba. Wanaacha kumshauri jamaa kufanya mziki wa biashatra waki wao wako bize kumshinikiza kiba ashindane na diamond.wanampoteza!. Alipo diamond alitakiwa kuwa kiba lkn yupo kwenye mikono ya wajinga. G-lover badilika kufanya mziki hoby ilikua zamani watoe vijana wako kwenye ujinga
 

What I Have Been Saying Exactly....
 

Point!
 

Samahani mkuu natumia opera lakini
tafadhali pokea LIKE yangu.
 
Leo Diamond anachukua tuzo za AFRIMA na hii trend ya kumsifia alikiba itaisha tu.....All in all kiba amejitahidi sana kwenye hii hit song yake ya mwana.But again management ni ishu, kwa song kama hili angetoa video kabisa, kukaribisha wadau waizindue ili publicity hii increase.People watch more tv than listening to radios, akitoa video MTV au hata channel O watamsikia.Last tym I checked on 2012 mpaka 2013 mwanzoni, MSINISEME by Alikiba was the only song with 1 million hits in EA.
 
Ali Kiba na nyimbo zake za kimasomaso ndo yuko juu, juu ya nini sasa? Labda juu ya kinadada wa Bongo movie.
 

Yan nisingekuwa natumia kitoch ningekugongea likes hata buku umeongea point moja matata yani ni zaidi ya fact
 

Exactly yaani ndio ujue watu wana wivu hadi wanatoka out of point hata ukitaja top 10 ya best rnb vocal jamaa haingii hao uliowataja na wengine wakali wapo wengi tu, ila kuwa star it need more than vocal.

Kama huyo bob jr sishangai kumponda Diamond maana walikuwa na beef so hatoweza kuongea jema kuhusu diamond, ingawa diamond kamfanya hata yeye bob jr asikike.

Kila nabii anamsimu wake Kiba alikuwa best enzi zile na kupata mashavu na akina R. Kelly through Sony huu ni wakati wa diamond sasa hilo akubali tu hata akilipaisha beef lake na diamond halita mfanya yeye kumfunika diamond wakati huu. Mwenzake yuko busy kujitangaza west africa na south bongo kisha weka heshima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…