Kitu nachokiona watu wana wivu juu ya Diamond na si vinginevyo. Muziki kwa sasa umebadilika watu/vijana wanapenda sana muziki wa burudani/mdundo kuliko ujumbe na Diamond amefanikiwa kwahilo, wasanii lazima wabadilike kuendana na soko kama wanahitaji kufanikiwa ktk soko la sasa, wataishia kusema A.Kiba,Jaydee etc wanaimba kuliko Diam. lakini je soko linataka nini? . Hata marekani huwezi linganisha ujumbe wa muziki walivyokuwa wakiimba kina Brandy,Monica, Maria C, TLC,R Kelly,P didy, na wanavyoimba kina Rihanna,Beyonce,JustineB etc wale wazamani walikuwa wanaimba nyimbo zenye ujumbe lakini wamepotea sababu soko linataka kelele/upuuzi kama wa akina Justine/Rihana etc.
Mtamsifia Kiba lakini asipoangalia soko linataka nini Diamond atazidi kuwaacha mbali.