Diamond platnum: Kifesi is my best photographer

Diamond platnum: Kifesi is my best photographer

hiyo acc wote tunajua unapost mwenyewe.

Nasikiaga kuwa baadhi ya mastaa huwapa wasaidiz wao majukukumu ya Ku manage social networks kama kutoa updates na vitu kama hvyo, sio mbaya as long kila anachokipost anakuwa ameagizwa n msanii husika
 
Aaah aah Leo naona wachafuzi wa hali ya hewa hawajafika, maana nilijua na mm ntapokea kichambo cha haja.

Hahahahaha yani leo sijui wako wapi natamani waje ili nijichekee maana kha!!!
 
diamondplatnumz said:
Had to Repost this from my best photographer ov all tym @kifesi.... cocobeach earlier today ... Hahaaaa
.
Kaka domo Kiswahili si unakiweza lakini ?
 
Nimeamini BAN ndio mbabe umu ndani kuna watu watakua wapo lupango maana huu uzi nlijua leo ungekua mrefu kama treni ya kwenda Kigoma
 
Nimeamini BAN ndio mbabe umu ndani kuna watu watakua wapo lupango maana huu uzi nlijua leo ungekua mrefu kama treni ya kwenda Kigoma

We acha tu nilikaa mkao wa kula kwa ajili ya kupokea dozi, ma mods wangewasamehe tu wanatukosesha uhondp
 
We acha tu nilikaa mkao wa kula kwa ajili ya kupokea dozi, ma mods wangewasamehe tu wanatukosesha uhondp

Hahhhahhhahhha wakati hua unapanik weweee sijui Muuzasura yuko wapi au yeye zinazomuhusu hemedy tu!!!!ndio anatia timu
 
Last edited by a moderator:
.
mbona kaanzia hapa kwenye kumsifia heaven on desert
.
attachment.php

.

.
Ndomana baba aliniambia nisome niache kucheza mpira kumbeeeee!​

Nadhani wewe una akili timamu, Mimi siandiki kishabiki humu, sina urafiki na super star yeyote, akifanya vizuri anasifiwa akiboronga anaambiwa, jaribu Kufikiria mda mwingine kabla ya Ku post
Kupanic muhimu binamu, aaah kuna mtu kanifuraisha eti Kasema una kimbele mbele kama ma nesi wa muhimbili dah kanichekesha sana binamu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom