Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah aah Leo naona wachafuzi wa hali ya hewa hawajafika, maana nilijua na mm ntapokea kichambo cha haja.
Aaah aah Leo naona wachafuzi wa hali ya hewa hawajafika, maana nilijua na mm ntapokea kichambo cha haja.
Subiri yatakuja tu,mengine usikute yana kesi huko mitaani bado yanasolve...
Dah hili jukwaa bila vichwa ngumu halinogi Matola sijui yuko wapi nataka kumsikia
Haiwezekani iwe hivi yani papo kimya ila siku haijaisha sijui wapo wapi jamani?
Makorofi mengi yametupwa rumandeee ndio maana hamuyaoniii
Jamani nimewamisi.Hebu muite hata Lusungo aje atoe baraka zake kwa Kifesi
Huyu matola nyie, kubadilisha ID kote kapewa ban ten
.diamondplatnumz said:Had to Repost this from my best photographer ov all tym @kifesi.... cocobeach earlier today ... Hahaaaa
.
Kaka domo Kiswahili si unakiweza lakini ?
Ila mchiz yuko poaa mi napenda vurugu zakee kale ka potpot kaliliwa ban janaa hahhhahhha
We acha tu nilikaa mkao wa kula kwa ajili ya kupokea dozi, ma mods wangewasamehe tu wanatukosesha uhondp
.
mbona kaanzia hapa kwenye kumsifia heaven on desert.
![]()
.
.
Ndomana baba aliniambia nisome niache kucheza mpira kumbeeeee!