Diamond platnum: Kifesi is my best photographer

Ame Ku quote kwani hujaona? Usiende kuntaja uko maana mtu mwenyewe mmh, sitaki umbea mm

Nimemuona watu humu si unakakumbuka kale kalikokua kanamponda Matola ndio hakaa ndio maana kana hasira binamu
 
Nimemuona watu humu si unakakumbuka kale kalikokua kanamponda Matola ndio hakaa ndio maana kana hasira binamu

Eeh yaan umbea mwingi hadi nimesahau unajua nilijua kaku quote jukwaa lingine kumbe humu humu duh mbona shughuli binamu
 
Eeh yaan umbea mwingi hadi nimesahau unajua nilijua kaku quote jukwaa lingine kumbe humu humu duh mbona shughuli binamu

Hahhhahhhahhha weweee tushawazoeaaa banaa we mwenyewe wanakutukanagaa weeee unawapotezeaa waje na mipasho mipyaa kila siku ile ilee
 
Hahhhahhhahhha weweee tushawazoeaaa banaa we mwenyewe wanakutukanagaa weeee unawapotezeaa waje na mipasho mipyaa kila siku ile ilee

Hapa ndo wamebugi, mbona vichambo nimekula sana, ila bado napeta tuu
 
Hapa ndo wamebugi, mbona vichambo nimekula sana binamu? Wamechemka wenyew, Umbea kuacha siwezi watanisamehe maana upo kwenye damu...

Na hatuachii ng'o wao wenyewe wanaupenda ndio maana wanachangiaa na kuja speed miti yenye matunda ndio hupigwaa maweee
 
Na hatuachii ng'o wao wenyewe wanaupenda ndio maana wanachangiaa na kuja speed miti yenye matunda ndio hupigwaa maweee

Umbea ndo habari ya mujini, aaaah aaah aah
 
sasa naona unataka niamini point hii
.
Code:
Secrety Service
hiyo acc wote tunajua unapost mwenyewe.
.
Mana naona una comments nonsense points whats the hell on your --- --- you just trying to clear your title huh
.
Haya go ahead and hug -----mer Na !
.
 
No comment yet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…