Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Nadhani wewe una akili timamu, Mimi siandiki kishabiki humu, sina urafiki na super star yeyote, akifanya vizuri anasifiwa akiboronga anaambiwa, jaribu Kufikiria mda mwingine kabla ya Ku post
Kupanic muhimu binamu, aaah kuna mtu kanifuraisha eti Kasema una kimbele mbele kama ma nesi wa muhimbili dah kanichekesha sana binamu[/QUOTE
Kawaida tu mbona nimemuonaaa hahhhahhhahhha