Diamond platnum: Kifesi is my best photographer

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
It feels good, congratulation heaven on desert

attachment.php
 
Attachments

  • 1395611038466.jpg
    1395611038466.jpg
    52 KB · Views: 4,443
Uongo mbaya Heaven on deset anaiweza kazi sema tuu ana fujo nyingi, msumbufu anatusumbua sana na kumfagilia huyo bosi wake, na kujifagilia mwenyewe
 
Last edited by a moderator:

Sion kama kuna ubaya mtu kumsifia mkuu wake wa kazi,hasa kama he is a good boss of u,kama Diamond alivyo kwangu/kwetu
na zaid sifa nazompa zinaonekana kwa kila mtu,tatizo n nini???
 
Hapo zinaonekana kwa kila mtu futa pimbi wewe usituingize kwenye kundi la mazuzu.
 
Sion kama kuna ubaya mtu kumsifia mkuu wake wa kazi,hasa kama he is a good boss of u,kama Diamond alivyo kwangu/kwetu
na zaid sifa nazompa zinaonekana kwa kila mtu,tatizo n nini???

Msipende kuchanganya ngeli mnaikosea sana...
Code mixing yanini? Fanya code switching basi tuone kama lugha ya malkia unaimudu
 
du! Kifesi ile pic hata Mimi niliikubali na maulidi ilikuwaje mpaka ikageuka kigodoro
 
Back
Top Bottom