mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,931
Bit zinafanana sana, tena wasanii wote wa WCB , lizer bado sana na pia kutoa idea ya utofaut kwa wasanii wote wa WCB kwa mtu mmoja ni ngumu, mwisho wa siku instrumental zinazotumika kwa mond ndo zinazotumika kwa monize nk
Mimi naona arudi kwa Manecky maana ukimuona ilikuwa hatari sana. Producer Manecky kwa beat za hisia ni habari nyingine.
Tetema katengeneza black q
tetema katengeneza S 2 Kizzy
May be.Kwa taarifa yako: Tuddy Thomas ni WCB's Official Sound Engineer kwa miaka yote hii.
Nasisitiza: Miaka yote hii!
hivyo vyeo vya kujipa tu.. engineer bila kusajiliwa bodi ya engineer umeona wapi?
hayo majina tu wanapeana mtaani mwisho wa siku wanapanga gheto watu watano rum moja unasema engineer analala humu...
ili uwe engineer hata wa upuuzi lazima uwe na degree ya engineering..
sasa mtu hata coet hapajui halafu anajiita engineer.. eti sound engineer.. engineer gani hesabu o level tu kapiga mswaki
engineer hajui paper ya physics A level ina pepa 3 za motooo kweli kweli.. halafu unasema ni engineer
Okay. Anachokifanya ni sound engineering. Tumuiteje?hivyo vyeo vya kujipa tu.. engineer bila kusajiliwa bodi ya engineer umeona wapi?
hayo majina tu wanapeana mtaani mwisho wa siku wanapanga gheto watu watano rum moja unasema engineer analala humu...
ili uwe engineer hata wa upuuzi lazima uwe na degree ya engineering..
sasa mtu hata coet hapajui halafu anajiita engineer.. eti sound engineer.. engineer gani hesabu o level tu kapiga mswaki
engineer hajui paper ya physics A level ina pepa 3 za motooo kweli kweli.. halafu unasema ni engineer
Okay. Anachokifanya ni sound engineering. Tumuiteje?
Maneckey hitsong yake kwa mond ni ukimwona tu ambayo alivujisha ndo wakazinguana, ngoma kali af producer akairelease, alimharibia mahesabu kweli Mond....hyo song mpak leo ni demo, Mond akapiga chini hata kuitolea video japo ilitambaa sana kitaaMimi naona arudi kwa Manecky maana ukimuona ilikuwa hatari sana. Producer Manecky kwa beat za hisia ni habari nyingine.
Tetema katengeneza black q
It was a blessing in disguise kwakuwa hiyo demo ilikuwa kali maana angeongeza majonjo isingekuwa kali mfano akiwa anaiperform uwa anaongeza maneno hainog lakini chorus inavyo hang inanoka.Maneckey hitsong yake kwa mond ni ukimwona tu ambayo alivujisha ndo wakazinguana, ngoma kali af producer akairelease, alimharibia mahesabu kweli Mond....hyo song mpak leo ni demo, Mond akapiga chini hata kuitolea video japo ilitambaa sana kitaa
Had leo bado anakaa pale?dah basi hii kazi ya u-producer itakua hailipi kabisa tena nahisi hawa jamaa ndio wanawaomba wasanii wakubwa wawatengenezee nyimbo tena free kabisa,TUD namuona pale getoni kwake maeneo ya savei .geto limechoka balaa halafu geto moja wanakaa kama washkaji watano .maisha magumu balaa
Tangu nimalize chuo sijapita maneneo yale mkuuHad leo bado anakaa pale?
Ni muhandsome sanaTudy Thomas ni producer mzuri sana hasa upande wa vionjo vyenye ladha ya kuvuta hsia, katika nyimbo zilizompaisha Diamond kimataifa nyingi zilikuwa na mkono wa Tudy Thomas ,
Ni kweli ana Producer wake lakn still mkono wa Tudy ni wa mhimu sana kwenye nyimbo za mond , beat zenye ladha tamu kama, My number one Remix , Mdogo mdogo, Nasema nawe, I miss u, Utanipenda, Make me sing n.k tumezimis sana....
Ni ushaur tu , Simba afanye tena kazi na jamaa ili mashabiki zake tuzidi kuenjoy
View attachment 1145193
View attachment 1145194
Producer Tudindwike Sanga
Ndio jina lake kamili? Nimelipenda
Umemaliza chaliangu..Ova Imeisha iyoooo Dingii.my number one beat alitengeneza sheddy clever, kwenye remix tuddy alifanya mixing ya vocals tu. Alafu Manecky ndo anampatia sana mondi basi tu.