mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,931
Mbona siku hizi wanatumia ma producer wengine kama s2kizzy katengeneza nyimbo kadhaa za rayvanny na diamond hata kanyaga beat no s2kizzy
Bit zinafanana sana, tena wasanii wote wa WCB , lizer bado sana na pia kutoa idea ya utofaut kwa wasanii wote wa WCB kwa mtu mmoja ni ngumu, mwisho wa siku instrumental zinazotumika kwa mond ndo zinazotumika kwa monize nk