Diamond Platnums arudi kwa Tuddy Thomas

Diamond Platnums arudi kwa Tuddy Thomas

Mbona siku hizi wanatumia ma producer wengine kama s2kizzy katengeneza nyimbo kadhaa za rayvanny na diamond hata kanyaga beat no s2kizzy
Bit zinafanana sana, tena wasanii wote wa WCB , lizer bado sana na pia kutoa idea ya utofaut kwa wasanii wote wa WCB kwa mtu mmoja ni ngumu, mwisho wa siku instrumental zinazotumika kwa mond ndo zinazotumika kwa monize nk
 
Diamond ndio huyo aliyevaa suruali chini ya matako au ni huyu anayetazama keyboard ?
 
Hahaha..
hivyo vyeo vya kujipa tu.. engineer bila kusajiliwa bodi ya engineer umeona wapi?

hayo majina tu wanapeana mtaani mwisho wa siku wanapanga gheto watu watano rum moja unasema engineer analala humu...

ili uwe engineer hata wa upuuzi lazima uwe na degree ya engineering..

sasa mtu hata coet hapajui halafu anajiita engineer.. eti sound engineer.. engineer gani hesabu o level tu kapiga mswaki

engineer hajui paper ya physics A level ina pepa 3 za motooo kweli kweli.. halafu unasema ni engineer
 
Okay. Anachokifanya ni sound engineering. Tumuiteje?
 
Okay. Anachokifanya ni sound engineering. Tumuiteje?

hafanyi sound engineering.. anachofanya ni kupanga drums kwenye software za fruit loops, studio one etc kisha kimix na vocals..

hizo sizo duties za sound engineer.. google it uelewe zaidi?

hayo makampuni ya kutengeneza software za kuandaa beats wanaajiri sound engineers wawasaidie kuandaa sounds za beats.

yaani wewe upange base, drums, vocals, snare kwa software waliyotengeneza wanaume wenzako ujiite engineer.. acha uhuni ukitaka uwe engineer jifunze pysics kwanza upige pepa nzitoo
 
Diamond ndio huyo aliyevaa suruali chini ya matako au ni huyu anayetazama keyboard ?
Aliyevaa suruali chini ya makalio ndo Mond, aliyeangalia keyboard ndo Tudd mwenyewe enzi hzo....
 
Mimi naona arudi kwa Manecky maana ukimuona ilikuwa hatari sana. Producer Manecky kwa beat za hisia ni habari nyingine.
Tetema katengeneza black q
Maneckey hitsong yake kwa mond ni ukimwona tu ambayo alivujisha ndo wakazinguana, ngoma kali af producer akairelease, alimharibia mahesabu kweli Mond....hyo song mpak leo ni demo, Mond akapiga chini hata kuitolea video japo ilitambaa sana kitaa
 
It was a blessing in disguise kwakuwa hiyo demo ilikuwa kali maana angeongeza majonjo isingekuwa kali mfano akiwa anaiperform uwa anaongeza maneno hainog lakini chorus inavyo hang inanoka.
Kuna pia kjt alimtengenezea lala salama na mawazo
 
dah basi hii kazi ya u-producer itakua hailipi kabisa tena nahisi hawa jamaa ndio wanawaomba wasanii wakubwa wawatengenezee nyimbo tena free kabisa,TUD namuona pale getoni kwake maeneo ya savei .geto limechoka balaa halafu geto moja wanakaa kama washkaji watano .maisha magumu balaa
Had leo bado anakaa pale?
 
Tudy Thomas ni producer mzuri sana hasa upande wa vionjo vyenye ladha ya kuvuta hsia, katika nyimbo zilizompaisha Diamond kimataifa nyingi zilikuwa na mkono wa Tudy Thomas ,
Ni kweli ana Producer wake lakn still mkono wa Tudy ni wa mhimu sana kwenye nyimbo za mond , beat zenye ladha tamu kama, My number one Remix , Mdogo mdogo, Nasema nawe, I miss u, Utanipenda, Make me sing n.k tumezimis sana....

Ni ushaur tu , Simba afanye tena kazi na jamaa ili mashabiki zake tuzidi kuenjoy

View attachment 1145193

View attachment 1145194
Ni muhandsome sana
 
We nae acha maisha ya kukariri,,
hivyo vyeo vya kujipa tu.. engineer bila kusajiliwa bodi ya engineer umeona wapi?

hayo majina tu wanapeana mtaani mwisho wa siku wanapanga gheto watu watano rum moja unasema engineer analala humu...

ili uwe engineer hata wa upuuzi lazima uwe na degree ya engineering..

sasa mtu hata coet hapajui halafu anajiita engineer.. eti sound engineer.. engineer gani hesabu o level tu kapiga mswaki

engineer hajui paper ya physics A level ina pepa 3 za motooo kweli kweli.. halafu unasema ni engineer
 
Ni zamu ya Zombie sasa...Ana tuvitu vitu yule mshkaji
 
Back
Top Bottom