mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
Hivi unakijuwa kijiji we kijana au domo ni ndugu yako umeamua kumpa kiki tu?
JK mwenyewe pale chalinze hata kijiji itakuwa Domo?punguza uongo
hhahhah na bado Wema amemwacha ndio ashasepa na Kajumozi atatafuta kick sana mwaka huu
Acha wivu wa kike.....
Hivi unakijuwa kijiji we kijana au domo ni ndugu yako umeamua kumpa kiki tu?
JK mwenyewe pale chalinze hata kijiji itakuwa Domo?punguza uongo
Menina ndio habare ya daslam...upo hapo!!!
we ndo mpambe wa ndomo au meneja wake?
Nyumba hiyooo...
Ndio maana Wema anawaponda na huawei zenu LOL
Nyumba hiyooo...
Ndio maana Wema anawaponda na huawei zenu LOL
Sasa hapa ameonesha nyumba au fence?
Both hehehe
Domo hayo ndio mambo sasaaaa una akili sanaaaaa sio kama akili za kina Ck kuhonga tu waooo
Ushawai ona wapi mwanaume anasifiwa kuonga. Ukiona dume wanalisifia ongaji zuri nalo linachekelea ujue shamba hilo.
Hapo Dangote kaua wanafiki woteee aisee ,kafanya la maana sanaaaaaaa Dangotee
Wataongea nini tena hapo na wamepewa sucker punch. wengine wameanza kulia na fensi.
Kupitia ukurasa wake wa instagram ametupia picha yenye fenc na mijengo ya maana ndani yake na kuuita mama chibu village...
Hongera sana diamond platnumz
Source page yake....picha will follow najaribu kuprint screen via my Huawei...