Diamond platnumz aanika kijiji chake alichojenga

Diamond platnumz aanika kijiji chake alichojenga

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
Kupitia ukurasa wake wa instagram ametupia picha yenye fenc na mijengo ya maana ndani yake na kuuita mama chibu village...
Hongera sana diamond platnumz
Source page yake....picha will follow najaribu kuprint screen via my Huawei...
 
Attachments

  • 1411653125410.jpg
    1411653125410.jpg
    62.6 KB · Views: 3,163
Hivi unakijuwa kijiji we kijana au domo ni ndugu yako umeamua kumpa kiki tu?
JK mwenyewe pale chalinze hata kijiji itakuwa Domo?punguza uongo

Relax baab ....! Hata ukimaind hautabadili chochote.
 
Domo hayo ndio mambo sasaaaa una akili sanaaaaa sio kama akili za kina Ck kuhonga tu waooo
 
Ushawai ona wapi mwanaume anasifiwa kuonga. Ukiona dume wanalisifia ongaji zuri nalo linachekelea ujue shamba hilo.

Hapo Dangote kaua wanafiki woteee aisee ,kafanya la maana sanaaaaaaa Dangotee
 
Kupitia ukurasa wake wa instagram ametupia picha yenye fenc na mijengo ya maana ndani yake na kuuita mama chibu village...
Hongera sana diamond platnumz
Source page yake....picha will follow najaribu kuprint screen via my Huawei...

Hizi ni dalili tosha Kuwait hazikutoshi unasifia MTU basala ya kuangalia maisha yako
 
Back
Top Bottom