Binamu hata kuniita jamani
Ndo maana mama ubaya hatak kuondoka kwa ndomo, maana kashafukuzwa nasikia mara kibao ila bibie hatak kuondoka kumbe anamendea mjumba ndio maana kutwa analilia ndoa mfyuuu mamaee
Binamu hata kuniita jamani
Ndo maana mama ubaya hatak kuondoka kwa ndomo, maana kashafukuzwa nasikia mara kibao ila bibie hatak kuondoka kumbe anamendea mjumba ndio maana kutwa analilia ndoa mfyuuu mamaee
Anataka akambane bane mama chibu ngoja nijambe mie ptyeeeereeeee
Umeona mjengo aliopangishiwa lulu? Nimeleta ubuyu kaangalie
Sujakulewa binamu, wema anatuponda na simu zetu za huawei na hiyo nyumba ya ndomo vinahusianaje?
hayo maneno angesema ndomo ambaye tunajua ana fight sio huyo malaya wa jiji, anayehongwa hadi simu
nimemjibu kutokana na post yake kuwa Huawei inashindwa ku upload
naona ka umepanick tu hapa.....
Aaaah aaah naona leo binamu upo kwenye mood mbaya
Vip mzima lakini
Sio nyumba mijumba.
Mijumba mimoja nini? Lol
Mie mzima binamu ngoja nije niuone huo mjengo wa Lulu
Duh... man naona ume-panic ile mbaya!Hivi unakijuwa kijiji we kijana au domo ni ndugu yako umeamua kumpa kiki tu?
JK mwenyewe pale chalinze hata kijiji itakuwa Domo?punguza uongo
Weka wewe picha ya mjnego na kusema ni yako kisha tuone kama utapata hiyo kick!hhahhah na bado Wema amemwacha ndio ashasepa na Kajumozi atatafuta kick sana mwaka huu
Watu hawamuombi msamaha watu wanampuuza uyo lusungo coz ni wakuja fulani halafu amebahatisha uhakika wa mshahara kila mwisho wa mwezi so anaona ameshafika climax fulani ya maisha.
Kuna siku nilimwona jukwaa la elimu anashindana na watoto chuo gani ni best bongo anatukana watu kinoma huko.
Nikaja kumuona tena jukwaa la kazi anatukana watoto wanaotafuta kazi ndio nikamwelewa yule mshamba amebahatisha kuja mjini hakuwai hata kuota.